Uwanja ulishajaa watu bado wanaingia
Corona kuna wagonjwa Kigoma lakini uwanja umejaa kupita kiasi.
Watu bado wanaingia mpaka sasa
Halafu kesho munaanza kutusumbua kwenye public transport eti...
Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja.
Katiba mpya je?
Mwamba atatuvusha?!
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema
“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini...
CHADEMA OFFICIALLY BEGINS TO DISTURB TANZANIA. LET US BE WATCHFUL.
After hitting rock bottom with CHADEMA's plan to pass through the New Constitution conference scheduled for activities in...
KILICHOMMALIZA MBOWE NI HIKI HAPA
Nasikia kule Mwanza mambo yameuamana, Mbowe na wenzake wako mikononi mwa polisi, taarifa hii haijanishangazasana kwani amevuna alichokipanda.
1. Mbowe alimuita...
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?
Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!
Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal...
MAKAMU WA RAIS AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI MKURUGENZI NANYUMBU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Julai 24, 2021 amefanya ziara ya kustukiza katika...
Serikali ya Tanzania imesitisha rasmi matamasha, sherehe na mikusanyiko na masharti kwa watakaolazimika kuwa na kibali maalumu kutoka kamati maalum ya Mkoa husika.
Matumizi ya Barakoa kwa wananchi wote kwenye sehemu zenye mikusanyiko (Mass Masking) ni hatua muhimu ya kukata mnyororo wa maambukizi katika jamii.
Aidha, matokeo ni makubwa sana pale ambapo...
Vituo vya Polisi vitatakiwa kufanya yafuatayo: -
1) Kuweka maeneo ya kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
2) Watumishi na watu wote wanaoingia katika vituo vya polisi wavae barakoa muda...
Hii tv imerudi kwenye mstari aisee
Nimeona kipindi cha medani za siasa mtangazaji kamkaba mbatia kwa maswali magumu hadi anashindwa kujibu
Huyu mtangazaji kongole kwake
SOCIAL DISTANCING
Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha...
Hon. Samia Suluhu Hassan, President of United Republic of Tanzania who continues to prove the world that Women a strong Army.
Tanzania continues to benefit for her leadership.
Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo.
Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya...
Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu...
CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia.
Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa...
Mkitaka serikali yetu ipate mapato kama mnavyotaka badala ya kuleta kodi za kuumiza watanzania fanyeni yafuatayo
1. Zuieni leakage ya kodi zinazotozwa kwa wafanya biashara, Bandarini, Kwenye...
Wakuu
Hakika maisha kutesa kwa wazamu wazee wetu walimaliza misemo yote!
Hii inchi ina raia wepesi sana wa kusahau mambo ndani ya muda mfupi, juzi tu hapa alikamatwa aliyekuwa DC wa Hai...
Salamu wakuu
Awali ya yote mimi ni mwanachama hai wa Chama cha Mapinduzi na ni diwani wa kata fulani na kiongozi wa chama
Huwa najiulza haya maswali lakini sjawahi kupata majibu
1. Hili suala...