Je, CHADEMA ni vigeugeu?

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
786
1,000
Naomba kujua je washaabiki na wanachama wa CHADEMA ni vigeugeu au mandumilakuwili?

Kwanini nauliza hivi...ACT Wazalendo walipokubali kujiunga SUKI, walitoa utetezi kuwa sio hisani bali ni ipo kisheria na kikatiba. CHADEMA waliwashambulia sana,
Juzi kuna taarifa zimetoka CHADEMA inapokea ruzuku.

Gazeti la mwananchi lilipowatafuta viongozi wa CHADEMA watolee maelezo , wamepiga chenga,

Huku mitandaoni hasa JF wafuasi wa CHADEMA utetezi wao ni ule ule kama wa ACT, kuwa ruzuku sio hisani bali ipo kikatiba, kifupi wamerudia kulamba matapishi yao . Fatilia kashfa, matusi ,kejeri walizotupiwa ACT baada ya kujiunga SUKI, kutoka kwa wanachama,mashabiki, na viongozi wa CHADEMA kwenda kwa ACT,

Huko TWITTER sijaona cha KIGOGO2014, wala Maria Sarungi, wala shangazi, wala HECHE, wakizungumzia CHADEMA kupokea RUZUKU ya mil 100+ inayotokana na uchaguzi walioukataa,

Kwa staili hiyo, wale kina Halima na wenzake 18 wanazidi kupata uhalali wa kwenda bungeni na itaonekena walionewa, maana UCHAGUZI kumbe ulikuwa halali, kwani why mchukue hela zitokanazo na uchaguzi mlioukataa?

Niishie hapa.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,858
2,000
Unaposema kina Halima wanazidi kupata uhalali wa kwenda bungeni unajidanganya, wale ni wakaidi hawakuheshimu maamuzi ya vikao halali vya chama chao, kama kwako hili sio kosa una matatizo.

Na kusema viongozi Chadema wanawapiga chenga waandishi wa habari sio sababu ya wewe kuamini hizo taarifa za Mwananchi, bado Chadema wanaweza kulitolea ufafanuzi hilo jambo ukabaki mdomo wazi, punguza presha.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,129

Kusema viongozi Chadema wanawapiga chenga waandishi wa habari sio sababu ya wewe kuamini hizo taarifa za Mwananchi, bado Chadema wanaweza kulitolea ufafanuzi hilo jambo ukabaki mdomo wazi, punguza presha.
Chadema kupokea ruzuku siyo dhambi!
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,858
2,000
Chadema kupokea ruzuku siyo dhambi!
Subirini taarifa rasmi kama wakitoa tuthibitishe, mbona mna haraka sana, why pressure?!

Kumbe mnawategemea sana Chadema kuhalalisha ule utapeli mliofanya kwenye uchaguzi mkuu uliopita, mnaweweseka sana.
 
mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
19,779
2,000
Naomba kujua je washaabiki na wanachama wa CHADEMA ni vigeugeu au mandumilakuwili?

Kwanini nauliza hivi...ACT Wazalendo walipokubali kujiunga SUKI, walitoa utetezi kuwa sio hisani bali ni ipo kisheria na kikatiba. CHADEMA waliwashambulia sana,
Juzi kuna taarifa zimetoka CHADEMA inapokea ruzuku.

Gazeti la mwananchi lilipowatafuta viongozi wa CHADEMA watolee maelezo , wamepiga chenga,

Huku mitandaoni hasa JF wafuasi wa CHADEMA utetezi wao ni ule ule kama wa ACT, kuwa ruzuku sio hisani bali ipo kikatiba, kifupi wamerudia kulamba matapishi yao . Fatilia kashfa, matusi ,kejeri walizotupiwa ACT baada ya kujiunga SUKI, kutoka kwa wanachama,mashabiki, na viongozi wa CHADEMA kwenda kwa ACT,

Huko TWITTER sijaona cha KIGOGO2014, wala Maria Sarungi, wala shangazi, wala HECHE, wakizungumzia CHADEMA kupokea RUZUKU ya mil 100+ inayotokana na uchaguzi walioukataa,

Kwa staili hiyo, wale kina Halima na wenzake 18 wanazidi kupata uhalali wa kwenda bungeni na itaonekena walionewa, maana UCHAGUZI kumbe ulikuwa halali, kwani why mchukue hela zitokanazo na uchaguzi mlioukataa?

Niishie hapa.
ww unatakaje??

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,922

Vijana wa uvccm mnajiaibisha sana, ungeuliza kwanza vigezo vinavyotumika kutoa ruzuku kwa vyama kabla hujaleta uharo wako jukwaani
 
hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
786
1,000
Vijana wa uvccm mnajiaibisha sana, ungeuliza kwanza vigezo vinavyotumika kutoa ruzuku kwa vyama kabla hujaleta uharo wako jukwaani
kwani nimesema sijui vigezo...kwa taarifa sasa kura za uraisi na ubunge na udiwani ndio zinaamua ruzuku, haya tuambie uchaguzi ni batili ila hela zitokanazo na hiyo batili ni halali?

Ngurue halamu ila mchuzi wake halali?
 
Kanyigoboy

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
348
1,000
Kama walishindwa ACT wazalendo ujue Chadema ndio bure kabisa!
Hahaha we jamaa cdm inakutesa sana pole mkuu ndio chama pendwa kwa wananchi walio wengi kwa sasa inabidi uzoee tu, act hao wametoka kwenye siasa za ushindani kitambo na huu ndio mwisho wao bara na visiwani CHADEMA TO THE WOULD.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,129
2,000
Hahaha we jamaa cdm inakutesa sana pole mkuu ndio chama pendwa kwa wananchi walio wengi kwa sasa inabidi uzoee tu, act hao wametoka kwenye siasa za ushindani kitambo na huu ndio mwisho wao bara na visiwani CHADEMA TO THE WOULD.
Hahahaaaa........!
 
hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
786
1,000
Hahaha we jamaa cdm inakutesa sana pole mkuu ndio chama pendwa kwa wananchi walio wengi kwa sasa inabidi uzoee tu, act hao wametoka kwenye siasa za ushindani kitambo na huu ndio mwisho wao bara na visiwani CHADEMA TO THE WOULD.
ACT kujiunga SUKI wametoka ktk siasa za kiushindani, ila chadema kulamba ruzuku za huo huo uchaguzi batili wanaendelea kuwepo kwenye ushindani?
 
hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
786
1,000
Unaposema kina Halima wanazidi kupata uhalali wa kwenda bungeni unajidanganya, wale ni wakaidi hawakuheshimu maamuzi ya vikao halali vya chama chao, kama kwako hili sio kosa una matatizo.

Na kusema viongozi Chadema wanawapiga chenga waandishi wa habari sio sababu ya wewe kuamini hizo taarifa za Mwananchi, bado Chadema wanaweza kulitolea ufafanuzi hilo jambo ukabaki mdomo wazi, punguza presha.
Huijui CDM wewe,hasa linapokuja swala la PESA
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,014
2,000
Naomba kujua je washaabiki na wanachama wa CHADEMA ni vigeugeu au mandumilakuwili?

Kwanini nauliza hivi...ACT Wazalendo walipokubali kujiunga SUKI, walitoa utetezi kuwa sio hisani bali ni ipo kisheria na kikatiba. CHADEMA waliwashambulia sana,
Juzi kuna taarifa zimetoka CHADEMA inapokea ruzuku.

Gazeti la mwananchi lilipowatafuta viongozi wa CHADEMA watolee maelezo , wamepiga chenga,

Huku mitandaoni hasa JF wafuasi wa CHADEMA utetezi wao ni ule ule kama wa ACT, kuwa ruzuku sio hisani bali ipo kikatiba, kifupi wamerudia kulamba matapishi yao . Fatilia kashfa, matusi ,kejeri walizotupiwa ACT baada ya kujiunga SUKI, kutoka kwa wanachama,mashabiki, na viongozi wa CHADEMA kwenda kwa ACT,

Huko TWITTER sijaona cha KIGOGO2014, wala Maria Sarungi, wala shangazi, wala HECHE, wakizungumzia CHADEMA kupokea RUZUKU ya mil 100+ inayotokana na uchaguzi walioukataa,

Kwa staili hiyo, wale kina Halima na wenzake 18 wanazidi kupata uhalali wa kwenda bungeni na itaonekena walionewa, maana UCHAGUZI kumbe ulikuwa halali, kwani why mchukue hela zitokanazo na uchaguzi mlioukataa?

Niishie hapa.
Ndumila kuwili ni walio kupatia kwenye mkesha wa mbio za mwenge
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom