Mama Samia una wabunge 90+% futa vyama vya upinzani

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.

Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.

Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.

Najua unapita hapa kusoma thread.
 
Anayefurahia yanayoendelea katika taifa hili kwa Sasa,ambayo pia ni mwendelezo wa awamu tangulizi,kwa yakika halitakii mema taifa hili.
 
Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.

Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.

Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.

Najua unapita hapa kusoma thread.
Hakuna kufuta vyama vya upinzani.

  • Polisi watakosa kazi, maana kuna watu mili yao inawasha.
  • Kina Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika, Lissu wangetajirika vipi bila vyama vya siasa
  • Waandishi wa habari watakosa matukio yenwyw msisimko pale nyumbu wanapokuwa wanagongwaaa visago heavy.

Kwahiyo tuendeleeee
 
Mnadhani rais yupo kwaajili ya kusoma post zenu hapa jf!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kufuta vyama vya upinzani.

  • Polisi watakosa kazi, maana kuna watu mili yao inawasha.
  • Kina Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika, Lissu wangetajirika vipi bila vyama vya siasa
  • Waandishi wa habari watakosa matukio yenwyw msisimko pale nyumbu wanapokuwa wanagongwaaa visago heavy.

Kwahiyo tuendeleeee
Natafuta neno zuri lakukuambia ila bado sijapata.
 
Anaogopa kunyima misaada, huyu maza ni katili kuliko hata shetani
Mama alianza vizuri kuliponya taifa wengi wametoka magerezani, mdude,mashehe,set na wengine wengi a good start ila sasa anakoelekea namshauri asiende Kwan kutaliweka taifa katika mivutano isiyo na faida
 
Anaogopa kunyima misaada, huyu maza ni katili kuliko hata shetani
Sio mama tu bali ni mfumo mzima wa ccm wanaogopa kitu kuondoka madarakani, ccm ni cancer, nawashangaa wanaotegemea uchaguzi kuiondoa ccm madarakani, kwani walishatamka wazi kuwa ccm hawawezi kutoa madaraka kwa njia ya kura hayo mamifumo ya vyama vingi ni usanii tu, kama wanachofanyiwa znz au wale wanapigwa na kupotezwa kwa kuongea ukweli au kuekwa ndani kwa kesi za ugaidi mkadhani kuwa ni kweli wana kesi basi mjue ni drama, linapokuja suala la ccm kutoka madarakani basi wako taari kuuwa ilimradi wabaki madarakani, ugaidi wa ccm haukuanza leo bali umeanza tokea 1964 katika visiwa jirani na historia inathibitisha hivyo
 
Inawezekana kisheria bila shida tatizo watawala wetu wazungu hawata kubari, jueni Afrika bado ipo utumwani. Si kilakitu Afrika inaweza fanya.
 
Nadhani badala ya kugombana km taifa Bora tuwe na chama kimoja kuliko kuwa na unafiki na kuumiza wengine kwa kisingizio cha vyama
Ukiwa chama kimoja ndo mtagombana sana maana kutajitokeza ccm wasukuma, ccm wanyakyusa na wengine wengine
 
Hawataki kuvifuta coz wanavitumia kama ngazi ya kupata misaada toka kwa nchi wahisani Tanzania ionekane ina demokrasia ya vyama vingi, kumbe ni maigizo matupu.
 
Hakuna kufuta vyama vya upinzani.

  • Polisi watakosa kazi, maana kuna watu mili yao inawasha.
  • Kina Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika, Lissu wangetajirika vipi bila vyama vya siasa
  • Waandishi wa habari watakosa matukio yenwyw msisimko pale nyumbu wanapokuwa wanagongwaaa visago heavy.

Kwahiyo tuendeleeee
Wewe naona ni wa kuja.

Mbowe tajiri kitambo sana ata kabla ya kuanzishwa vyama vingi,tena sasa vyama vingi ndo vinamfilisi.
 
Viongozi wa Africa wamegeuka ving,ang,niz wa madaraka kwa style hii kuendelea ni ndoto
 
Back
Top Bottom