Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

Mdogo mdogo tutafika wanakotaka tufike

Screenshot_20210721-164855_Twitter.jpg
 
Mama kama itakupendeza, mtoe Sabaya mrudishie ile wilaya yake na kama ikikupendeza mrudishe Makonda Dar es salaam...

Utoto utoto usio na maana kwa maslahi ya wajinga wachache ufike mwisho sasa, JK aliachia hawa watu wafanye siasa wakawa wajinga na kufanya mambo ya hovyo mpaka kumuita dhaifu...JPM akaja akawapiga pini mpaka tukawaonea huruma huku wenyewe walituambia wanataka Rais mwenye maamuzi, dictator na mkali...JPM ametwaliwa na mwenye mamlaka amekuja Mama mwanzoni amejaribu kuishi kwa busara na kuanza kuwasikiliza wameanza tena maujinga ya awamu ya nne kutaka kuipanda dola kichwani..hakuna namna..

Egypt ilitokea shida pale na wanasiasa wakabaki wanalumbana na ujinga mwingi usioisha kila siku...El-sisi akaamua kuwa mndava na kuweka pamba masikioni ili nchi ikae sawa...leo tunaona Egypt angalau ina utulivu, ELsisi angeanza kuwabembeleza leo hii egypt ingekuwa kwenye machafuko makubwa....Mama kuwa mndava kwa wajinga wajinga..

Tatizo la Tanzania sio Katiba, ni umasikini, ukosefu wa ajila, maradhi, na mijitu mijinga miiingi...
 
Back
Top Bottom