Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI ndugu rafiki kaka dada na jamaa zangu Ni Ukweli usiopingika nchi yetu inapita katika kipindi kibaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii wengi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Walipoambiwa na hayati Magufuli kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hivyo wasiichukulie kwa papara kwa kutangaza lockdown hovyo hovyo hawakuelewa, sasa ndiyo wanaanza kuelewa sasa. Kila kitu Kenya...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania WARIOBA ASISITIZA KATIBA MPYA TANZANIA | 13.07.2021 Vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba mpya Tanzania bado liko juu na safari hii, waziri mkuu mstaafu...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Mimi nimechanjwa chanjo ya P fizer muda mrefu wakati hapa kwetu tukihubiri malimao na matangawizi, Tuliimba pambio wote za ujasiri wakati huo kuwa beberu hafai na chanjo hazifai Leo bila aibu na...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Mama Samia huko uliko pokea salamu hizi. Katika siku 100 zako za mwanzo ulianza vizuri ukitupa matumaini mapya nasi tukakupongeza. Lakini baada ya hizo kupita ghafla umetubadilikia. Ama kwa...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuhusu tozo la miamala kwa umoja wetu tulilala kupitia mitandandao ya kijamii. Tuliambiwa Rais alisikia kilio chetu na analifanyia kazi. Maelezo yaliyotolewa na msemaji mkuu wa serikali yalikua...
1 Reactions
3 Replies
917 Views
Mara baada ya Rais Samia kuchukua madaraka, gazeti la serikali, Daily News, lilichapisha tangazo kutoka STAMICO, la kumpongeza Rais huyo mpya. Zaidi ya kumpongeza, tangazo hilo hilo pia lilitoa...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za kushinda wakuu, Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa. Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau, Wiki hiii naona miraruano na mitifuano ndani ya vyama vya siasa yote haya yanatokea kama vile vyama havina viongozi. Ni wakati wa kujitathmini kwa viongozi wa vyama hivi vikubwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM, Samia alisema, katiba mpya isubiri kwanza. Angalao yeye hakusema kuwa katiba mpya siyo muhimu na wala hakusema siyo hitaji la wananchi. Lakini ukimsikikiza Shaka na Chongolo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunafahamu kuwa wananchi wa nchi hii masikio na macho yao watayaelekeza katika mahakama ya Kisutu, kuanzia tarehe 7 mwezi Oktoba mwaka huu, ambapo mahakama hiyo itasikiliza mfululizo kwa siku 5...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo...
40 Reactions
275 Replies
53K Views
Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma. Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote. OCD wa Dodoma...
12 Reactions
29 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa...
27 Reactions
73 Replies
8K Views
Ukisikia kuna kupungukiwa akili, ndiyo huku. Ukikaa mbele ya luninga yako, halafu ukasikia kuwa mazalio ya samaki yanaharibiwa na wavuvi maharamia wa majini. Halafu baadaye ukamsikia mvuvi...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Chadema mnaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo Harafu hapo hapo mnunaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo. Cha kushangaza...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais. Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni...
27 Reactions
94 Replies
9K Views
Yawezekanahiyo Video wanapasha misuli joto ama yawezekana wanafurahi pamoja kama watanzania, silipingi hili kwa sababu amani , umoja na mshikamano ndo jambo la msingi. Lakini content ya hiyo...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…