Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi. CCM ni...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari, Afrika, Tanzania ikiwemo tunachagua viongozi kwa kuangalia itikadi ya chama cha mgombea. Kama chama kina wanachama wengi basi kura za mgombea wa chama hicho zitakuwa nyingi na kama chama...
1 Reactions
4 Replies
955 Views
Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo...
10 Reactions
68 Replies
7K Views
"Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Arusha kwamba nifike ofisini kwao kujibu kuhusu uraia wangu namba zake 0684544603":- Charles Odero, Mwanaharakati...
21 Reactions
119 Replies
10K Views
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi. Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba ushangae Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Tangu kuanza kwa vuguvugu la kudai katiba mpya mapema mwaka huu likiongozwa na Chadema, Zitto Kabwe na chama chake cha ACT Wazalendo wamekuwa kimya pasipo kutia neno lolote. Hivi karibuni Zitto...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani chondechonde msiingize swala la chanjo kwenye uvyama chanjo sio mali ya chama. Waelimisheni watanzania wote vile ambavyo wewe unaelewa kuhusu chanjo. Mtu akizungumza jambo tusikurupuke...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania. Kama ulichokisema ni dhamila...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuhusu chanjo ni hiari yako kuchagua kati ya hatari ndogo (Low risk) na hatari kubwa (High risk). Kila chanjo ina lengo moja tu. Lengo la kuongeza kinga katika mwili wako. Na kila chanjo lazima...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Asalam-aleikoum Wana-JF, Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetoka kumsoma mdau mmoja maarufu akihoji juu ya undumilakuwili wa Chadema katika misimamo. Anahoji kuwa Chadema wanahamasisha watanzania tugomee tozo za miamala ya simu kwa kutofanya miamala...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nikiitazama hii picha, Nikitazama video nyingine za mtuhumiwa Mbowe akihutubia taifa na sehemu mbalimbali ambazo kulikuwa na viongozi wa kitaifa, kiserikali,kitaasisi, kidini na kisiasa napata...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana-CHADEMA, Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa! Kwa sababu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wabunge wa CHADEMA walitoka Bungeni ili kujikinga na maabukizi ya COVID-19 Ndugai akawafutia posho na kutishia kuwafuta Bungeni akawaambia warudi kwani hakuna Corona. Na wafuasi wao wakamshangilia...
2 Reactions
0 Replies
877 Views
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika. Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na...
18 Reactions
68 Replies
7K Views
Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani) Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…