Moja kwa moja kwenye hoja,, Marekani ni taifa lililo athirika Sana na Ugaidi. Na Ni nchi ambayo inapambana na magaini karibu dunia nzima, mfano ni Somalia( Al Shabab) Afghanistan (Tulban)...
Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo.
Kwa nini huoni...
Kufuatia mfululizo wa ibada zake na neno kuu "Corona", Askofu Gwajima amevutia idadi kubwa ya watu kumfuatilia kwenye mitandao huususan YouTube.
Mojawapo ya ujumbe wake ni kuishambulia Serikali...
Tangu tozo mpya zilipoanza nimesusa kutoa pesa kwenye akaunti yangu, chakushangaza Tigo wamekuwa wakinitumia ujumbe nitoe pesa vinginevyo wataifunga! Wakiifunga inamaana wao watakomba pesa yote...
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameangua kilio mahakamani akiomba huruma ya mahakama baada ya kudai kwamba kesi hiyo ni ya kupika Kwa sababu za kisiasa Kwa...
Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC.
Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA...
Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu...
CCM na Upinzani tuna cha kujifunza kwenye uchaguzi wa ZAMBIA
Nawasalimu kwa jina la demokrasia.
Leo nimeona nije na uzi mfupi kwa nilichojifunza kutokana na uchaguzi mkuu wa Zambia tarehe 12...
Kwanza nina declare position,
Mimi ni mwana CCM.
Tena ni mfanya biashara.
Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia.
Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi...
Huu uharamia wa kodi mpya za miamala ya simu unapaswa kusimama.
Wanasheria wetu mtusaidie hili. Hakuna kitu kinachoitwa sijui "kodi ya uzalendo" — Lazima Mahakama iweke ZUIO la hizi kodi za...
Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama...
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema .
Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba...
Hayupo ambaye hajavishuhudia vimbwanga vya askofu Gwajima kuhusiana na Corona na Chanjo zake.
Hadharani tuhuma za Gwajima kumhusu mheshimiwa Rais na wasaidizi wake zimesikika.
Haya yakiendelea...
Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa.
Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa.
Mlalamikaji na...
Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma...
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.
Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar...
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema...
Tunakumbushana tu
Hii ilitokea kwa Nelson Mandela.
Ikatokea kwa maalim Seif
Imetokea Zambia
Na labda itatokea kwingineko duniani.
Wanasiasa wanaohubiri Upendo na Amani wakiwekwa jela kwa muda...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati...