Mjumbe wa UN kukutana na vyama vya siasa vya Tanzania kujadili hali ya uchaguzi 2025, rais Samia apongezwa katika Demokrasia

Mjumbe wa UN kukutana na vyama vya siasa vya Tanzania kujadili hali ya uchaguzi 2025, rais Samia apongezwa katika Demokrasia

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
394
Reaction score
277
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hatua ilizochukua kurejesha amani na utulivu kufuatia vurugu na matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea kwenye baadhi ya maeneo nchini tarehe 29 Oktoba, 2025.

IMG-20260309-WA0075.jpg

Bw. Onanga-Anyanga ametoa pongezi hizo alipofanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), jijini Dar es Salaam, ikiwa ni hatua ya mwanzo ya mazungumzo yake na Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa kitaifa.

Mjumbe huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi kwa lengo la kufanya mashauriano na Serikali na wadau wengine wa kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini, pamoja na kujadili namna Umoja wa Mataifa unavyoweza kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuimarisha taasisi za kidemokrasia, kusimamia mageuzi na kuendeleza umoja na mshikamano wa kitaifa kupitia maridhiano jumuishi.

IMG-20260309-WA0067.jpg

Aidha, amempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha utulivu na uongozi makini katika kipindi hicho kigumu kwa taifa. Amekaribisha pia uamuzi wa Serikali wa kuunda Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Bw. Onanga-Anyanga aliipongeza Tume hiyo inayoongozwa na Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu kwa kazi yake nzuri yenye kubeba uzito na ubobezi na viwango vya hali ya juu na ya kuigwa kimataifa. Ameeleza pia kuwa muundo wa Tume hiyo unaojumuisha wajumbe kutoka kada mbalimbali umeongeza ubora na uhuru wa kazi yake.

Aidha, ameipongeza Serikali kwa juhudi zake za kurejesha imani ya wananchi na kudumisha utulivu baada ya matukio hayo, pamoja na hekima na utulivu uliotumika katika kushughulikia changamoto zilizojitokeza wakati wa kipindi cha uchaguzi.

Katika muktadha huo, Mwakilishi huyo Maalum alikaribisha mpango mpana wa kitaifa uliotangazwa na mamlaka mwezi Januari 2026 chini ya kaulimbiu ya “Repair – Rebuild – Renew,” akibainisha kuwa mpango huo unaweka msingi muhimu wa kuimarisha utawala wa kidemokrasia, kusimamia mageuzi ya taasisi pamoja na kuendeleza maridhiano ya kitaifa.

Vilevile, amempongeza Mhe. Mahmoud Kombo, kwa juhudi zake za kuielezea jumuiya ya kimataifa hatua na michakato ya ndani ya nchi inayochukuliwa kushughulikia matukio hayo na kuimarisha mshikamano wa kitaifa.

IMG-20260309-WA0074.jpg

Katika ratiba ya ziara yake nchini, Bw. Onanga-Anyanga anatarajiwa kukutana na viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ACT Wazalendo, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya utawala bora, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Aidha, atafanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu pamoja na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambani ni wawakilishi wa mihimili yote mitatu ya dola.

IMG-20260309-WA0082.jpg

Kwa upande wake, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameishukuru Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano wake na kueleza kuwa Tanzania inathamini sana ushirikiano huo. Ameeleza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na UN na haitasita kuomba msaada wake pale inapohitajika katika kuimarisha taasisi za taifa na kulinda amani, utulivu na mshikamano wa wananchi.

IMG-20260309-WA0062.jpg
 
Attachments

  • IMG-20260309-WA0072.jpg
    IMG-20260309-WA0072.jpg
    408.6 KB · Views: 22
  • IMG-20260309-WA0063.jpg
    IMG-20260309-WA0063.jpg
    420.8 KB · Views: 22
  • IMG-20260309-WA0060.jpg
    IMG-20260309-WA0060.jpg
    491.7 KB · Views: 37
  • IMG-20260309-WA0056.jpg
    IMG-20260309-WA0056.jpg
    392 KB · Views: 21
  • IMG-20260309-WA0055.jpg
    IMG-20260309-WA0055.jpg
    378.8 KB · Views: 20
  • IMG-20260309-WA0050.jpg
    IMG-20260309-WA0050.jpg
    589.7 KB · Views: 18
  • IMG-20260309-WA0053.jpg
    IMG-20260309-WA0053.jpg
    522.2 KB · Views: 21
  • IMG-20260309-WA0054.jpg
    IMG-20260309-WA0054.jpg
    361.3 KB · Views: 21
  • IMG-20260309-WA0043.jpg
    IMG-20260309-WA0043.jpg
    375.7 KB · Views: 23
  • IMG-20260309-WA0041.jpg
    IMG-20260309-WA0041.jpg
    361.7 KB · Views: 19
  • IMG-20260309-WA0039.jpg
    IMG-20260309-WA0039.jpg
    413.6 KB · Views: 42
  • IMG-20260309-WA0038.jpg
    IMG-20260309-WA0038.jpg
    369.8 KB · Views: 27
  • IMG-20260309-WA0081.jpg
    IMG-20260309-WA0081.jpg
    466.6 KB · Views: 24
Ni nani huyu na kazi zipi Nzito alizosimamia

TOKA MAKTABA

2 October 2024

Briefing delivered by Parfait Onanga-Anyanga, Special Representative of the Secretary-General to the African Union and Head of UNOAU, at the United Nations Security Council Meeting on ‘Cooperation between the United Nations and Regional Organizations including The African Union

1773086648323.jpeg

Your Excellency, Madam President of the Security Council,

Your Excellencies, Distinguished Members of the Security Council,

Your Excellency, Ambassador Bankole Adeoye, AU Commissioner for Political Affairs, Peace and Security,

Assistant Secretary-General, Martha Ama Pobee,

Ladies and Gentlemen,

Thank you, Madam the President of the Security Council, for convening this important meeting on ‘Cooperation between the United Nations and regional organizations, including the African Union’ amidst heightened global tensions that require the full attention of this Council.

The report of the Secretary-General (S/2024/629) on ‘Strengthening the partnership between the United Nations and the African Union on issues of peace and security in Africa, including the work of the United Nations Office to the African Union’ provides an update on the key achievements and milestones in the strategic partnership between the United Nations and the African Union on issues of peace and security in Africa.

It also outlines the serious challenges to peace and security across the continent; and underscores the strategic importance – and indeed necessity – of the partnership between the United Nations and the African Union. This strategic partnership continues to grow from strength to strength.

We commend the Security Council and the AU Peace and Security Council (AUPSC) for prioritizing collaboration and information-sharing. We welcome the constructive and cordial deliberations at the last Informal Seminar and Annual Joint Consultative Meeting of the two Councils, held a year ago in Addis Ababa; and look forward to an equally productive meeting in two week’s time, under the joint leadership of Switzerland and Egypt.

During the reporting period, the two Councils have also significantly increased the frequency of the monthly informal coordination meetings between the incoming President of the Security Council and incoming Chairperson of the AUPSC, providing opportunities for enhancing synergies and complementarity. We also recognize the important role of the three African members of the Security Council (A3) who provide a critical link between the two Councils.

Special representatives and envoys of the United Nations and the African Union, and other senior officials, frequently brief the two Councils, sometimes jointly, offering critical insights and analysis to inform decision-making. During the reporting period, UNOAU and other United Nations entities also briefed the Peace and Security Council on at least 30 occasions, including at meetings held at the level of Heads of State and Government.

The two organizations also continue to meet in both formal and informal settings, to share information and analysis, and to coordinate responses to Africa’s peace and security challenges across the conflict cycle. . This includes the Annual Conference and other frequent meetings between the Secretary-General and the Chairperson of the AU Commission, the High-level strategic dialogues co-chaired by the Deputy Secretary-General and the Deputy Chairperson of the Commission, meetings of the Joint UN-AU Taskforce on Peace and Security, and the joint retreat of UN and AU Special Representatives and Envoys in Africa.

Staff-level collaboration between the two organizations continues to be a major feature of the UN-AU partnership, allowing for joint analysis and planning, a recent example being the preparations for the successor arrangements for ATMIS and the joint consultations to unpack resolution 2719, on which ASG Pobee will shortly provide an update on the operationalization process. Moreover, following the decision of African Heads of State and Government to establish the Africa Facility to Support Inclusive Transitions (AFSIT), the United Nations and the African Union are closely coordinating efforts to help address complex political transitions facing several countries.

The foregoing, though not exhaustive, shows the effectiveness, dynamism, and wide-ranging nature of UN-AU partnership.

Madam President, Excellencies,

As the Council is aware, several African countries and sub-regions continue to face significant challenges to achieving lasting peace, security and sustainable development.

The Horn of Africa continues to be confronted with several destabilizing conflicts driven by political instability, territorial disputes and an ever-worsening humanitarian situation. The AU-IGAD-UN collaboration in responding to these challenges remains essential for sustainable peace in the region.

The conflict in Sudan has resulted in a grave humanitarian emergency, leading to the largest forced displacement crisis in the world involving over 10 million people, of which more than 2 million have fled to neighbouring countries. We commend the sustained diplomatic efforts in recent months to end this deadly conflict. The AUC-led Expanded Mechanism continues to be a useful coordination platform for joint messaging to the belligerents to prioritise inclusive civilian-led political solutions and to silence the guns.

In the Sahel region, political instability and violence have intensified, while uncertainty characterizes transition processes in Burkina Faso, Guinea, Mali, and Niger. Burkina Faso, Mali and Niger have decided to withdraw their membership of the Economic Community of West African States (ECOWAS) and to establish a new Alliance of Sahel States. The United Nations and African Union are working to enhance their collective support in advancing democratic transitions in the region, working closely with ECOWAS.

More broadly, we welcome the informal engagements between the AUPSC and the countries in political transitions aiming at facilitating their return to constitutional order, including recently in Gabon.

In the Great Lakes region, the 30 July ceasefire agreement between the Democratic Republic of the Congo and Rwanda, facilitated by Angola, has translated into a reduction of fighting between conflict parties in North Kivu. I wish to commend President João Lourenço of Angola for his steadfast efforts through the Luanda process to restore peace and security in eastern Democratic Republic of the Congo. Continued regional and international support is crucial to sustain this milestone. We must remain attentive to the suffering of the civilian population who continue to face atrocities by armed groups and are forced to leave their homes. All groups must lay down their weapons and disarm. The commitment of the member States of the Southern African Development Community (SADC) to support peace efforts through the deployment of the SADC Mission in the Democratic Republic of the Congo (SAMIDRC) is also commendable. The United Nations, through resolution 2746 (2024), and the African Union have reiterated their commitment to support these efforts. For sustainable peace to be restored in eastern Democratic Republic of the Congo and the region, addressing the root causes, including through political initiatives such as the Luanda and the Nairobi processes and the quadripartite process facilitated by the African Union, is a sine qua non
 
UZOEFU WA Parfait Onanga-Anyanga anayeshughulika na migogoro Pembe ya Afrika aliye mjumbe wa Antonio Guterres katibu mkuu wa UN

Parfait Onanga-Anyanga, raia wa Gabon, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Pembe ya Afrika​

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alimteua Parfait Onanga-Anyanga raia wa Gabon kuwa Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Pembe ya Afrika siku ya Jumatano.

Picha: MINUSCA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alimteua Parfait Onanga-Anyanga raia wa Gabon kuwa Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Pembe ya Afrika siku ya Jumatano.
Machi 13, 2019 Amani na usalama
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres Jumatano alimteua Parfait Onanga-Anyanga wa Gabon kuwa Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Pembe ya Afrika.

Bw. Onanga-Anyanga ana uzoefu mkubwa ndani ya Umoja wa Mataifa, hasa katika masuala ya Afrika.

Hadi mwisho wa Februari, alikuwa Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati na Mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Udhibiti wa Pamoja wa Vipimo Mbalimbali katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ( MINUSCA ). Nafasi aliyoishikilia Bangui kwa karibu miaka mitatu na nusu na ambayo aliiacha wiki chache baada ya kukamilika kwa makubaliano ya amani kati ya serikali ya Afrika ya Kati na makundi 14 yenye silaha.

Mnamo mwaka wa 2015, Bw. Onanga-Anyanga aliratibu mwitikio wa Umoja wa Mataifa kwa mgogoro uliosababishwa na kundi la kigaidi la Boko Haram, ambalo linafanya kazi nchini Nigeria na pia linafanya kazi nchini Kamerun, Chad, na Niger, kutoka Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Hapo awali, alihudumu kama Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi (BNUB) na Mratibu Mkuu wa Mfumo mzima wa Umoja wa Mataifa kwa nchi hii ya Afrika ya Kati (2012-2014).

Afisa huyo mkuu wa Gabon ana uzoefu mkubwa wa kufanya kazi katika ofisi ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York. Alihudumu kama Mkurugenzi wa Ofisi ya Naibu Katibu Mkuu wa tatu wa Umoja wa Mataifa, Mtanzania Asha-Rose Mtengeti Migiro (2007-2012), na kama Mshauri Maalum wa Msweden Jan Eliasson na Mgabon Jean Ping, Marais wa vikao vya 60 na 61 vya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mtawalia ( 2005-2007 ) . Pia alihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi wa Miguel d'Escoto Brockmann wa Nicaragua, ambaye alikuwa Rais wa kikao cha 59 cha Baraza Kuu (2004-2005).

Kuanzia 1998 hadi 2004, Bw. Onanga-Anyanga alishikilia nyadhifa mbalimbali za kisiasa na usimamizi katika Tume ya Maandalizi ya Shirika Kamili la Mkataba wa Marufuku ya Majaribio ya Nyuklia ( CTBTO ) huko Vienna na New York. Mapema katika taaluma yake, alihudumu kama Kaimu Katibu wa Kamati ya Ushauri ya Kudumu ya Umoja wa Mataifa kuhusu Masuala ya Usalama Afrika ya Kati.

Bw. Onanga-Anyanga pia alihudumu katika serikali ya Gabon. Alikuwa mshauri wa kwanza wa upokonyaji silaha na masuala ya kisiasa katika Ujumbe wa Kudumu wa Gabon kwa Umoja wa Mataifa huko New York.

Bw. Onanga-Anyanga ana shahada ya uzamili ya sayansi ya siasa kutoka Chuo Kikuu cha Paris 1 Panthéon-Sorbonne na shahada ya uzamili katika sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Omar Bongo huko Libreville. Alizaliwa mwaka wa 1960, ameoa na ni baba wa watoto watatu
 
Bw. Onanga-Anyanga wamkumbuka katika utatuzi wa kule South Sudan Juba uliofanyika Kenya, mgogoro wa Ethiopia maeneo ya Makele vita vya wenyewe kwa wenyewe, Somalia, Boko Haram kule Nigeria, Ukabila, Shirikisho vs Serikali za mikoa...

TOKA MAKTABA
Imekuwa uploaded

November 20 2025

Parfait Onanga Anyanga - Politics and Governance in the Horn of AFRICA

View: https://m.youtube.com/watch?v=jYbQf46EHkM
In his address to the IIEA, Special Envoy Onanga-Anyanga offers analysis and insights efforts to strengthen governance, and recent developments affecting peace and stability in the region.This event is part of our Development Matters lecture series supported by Irish Aid.

About the Speaker:Mr Onanga-Anyanga has had a long and distinguished career in the UN. Prior to his appointment as Special Envoy for the Horn of Africa in March 2019, he held a variety of roles including Special Representative of the Secretary-General and Head of the United Nations Multidimensional Integrated Stabilization Mission in the Central African Republic (MINUSCA), Coordinator of the United Nations Headquarters response to the Boko Haram Crisis, and Head of the United Nations Office in Burundi (BNUB).

In addition, Special Envoy Onanga-Anyanga has served at the Preparatory Commission of the Comprehensive Nuclear Test-Ban Treaty Organization and as First Counsellor for Disarmament and Political Affairs at the Permanent Mission of Gabon to the United Nations in New York.
 
Hakika Samia ameichafua taswira ya taifa letu kwa mauaji kiasi tumejumuishwa ktk kundi hilo hapo juu la South Sudan, Boko Haram, ukatili dhidi ya wanawake n.k
08 March 2026
Musoma, Tanzania

TANZANIA POLICE TEAR- GASSED WOMEN ON INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 2026​

View: https://m.youtube.com/watch?v=WGKoEigDUF0
SULUHU ‘S WOMEN’S DAY IN TANZANIA - “GREETINGS” TO OPPOSITION IS TEAR GAS
Happening right now in Musoma
As I told you - you are not dealing with rationale people but with brutes!

Prof. Palamagamba Kabudi and the others are just putting on a show because they are convinced y’all are stupid!I am here to tell you as it is! The only lasting peaceful solution

C.C

@UN_Women

@unwomenafrica
we expect your condemnation of this!

Cc
@commonwealthsec

@SGCommonwealth
#Tanzania On Women’s Day the police with orders from
@SuluhuSamia
personally are teargassing and assaulting women from main opposition party CHADEMA and detaining the women's at a police station

View: https://m.youtube.com/watch?v=xCoTqTBcLzo
 
Wakatoliki siku ya msiba wa Kadinali Pengo walifanya jambo moja la maana sana
 
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hatua ilizochukua kurejesha amani na utulivu kufuatia vurugu na matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea kwenye baadhi ya maeneo nchini tarehe 29 Oktoba, 2025.

View attachment 3555666

Bw. Onanga-Anyanga ametoa pongezi hizo alipofanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), jijini Dar es Salaam, ikiwa ni hatua ya mwanzo ya mazungumzo yake na Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa kitaifa.

Mjumbe huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi kwa lengo la kufanya mashauriano na Serikali na wadau wengine wa kitaifa kuhusu hali ya kisiasa nchini, pamoja na kujadili namna Umoja wa Mataifa unavyoweza kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuimarisha taasisi za kidemokrasia, kusimamia mageuzi na kuendeleza umoja na mshikamano wa kitaifa kupitia maridhiano jumuishi.

View attachment 3555667

Aidha, amempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha utulivu na uongozi makini katika kipindi hicho kigumu kwa taifa. Amekaribisha pia uamuzi wa Serikali wa kuunda Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Bw. Onanga-Anyanga aliipongeza Tume hiyo inayoongozwa na Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu kwa kazi yake nzuri yenye kubeba uzito na ubobezi na viwango vya hali ya juu na ya kuigwa kimataifa. Ameeleza pia kuwa muundo wa Tume hiyo unaojumuisha wajumbe kutoka kada mbalimbali umeongeza ubora na uhuru wa kazi yake.

Aidha, ameipongeza Serikali kwa juhudi zake za kurejesha imani ya wananchi na kudumisha utulivu baada ya matukio hayo, pamoja na hekima na utulivu uliotumika katika kushughulikia changamoto zilizojitokeza wakati wa kipindi cha uchaguzi.

Katika muktadha huo, Mwakilishi huyo Maalum alikaribisha mpango mpana wa kitaifa uliotangazwa na mamlaka mwezi Januari 2026 chini ya kaulimbiu ya “Repair – Rebuild – Renew,” akibainisha kuwa mpango huo unaweka msingi muhimu wa kuimarisha utawala wa kidemokrasia, kusimamia mageuzi ya taasisi pamoja na kuendeleza maridhiano ya kitaifa.

Vilevile, amempongeza Mhe. Mahmoud Kombo, kwa juhudi zake za kuielezea jumuiya ya kimataifa hatua na michakato ya ndani ya nchi inayochukuliwa kushughulikia matukio hayo na kuimarisha mshikamano wa kitaifa.

View attachment 3555665

Katika ratiba ya ziara yake nchini, Bw. Onanga-Anyanga anatarajiwa kukutana na viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ACT Wazalendo, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya utawala bora, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Aidha, atafanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Mkuu pamoja na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambani ni wawakilishi wa mihimili yote mitatu ya dola.

View attachment 3555664

Kwa upande wake, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameishukuru Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano wake na kueleza kuwa Tanzania inathamini sana ushirikiano huo. Ameeleza kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na UN na haitasita kuomba msaada wake pale inapohitajika katika kuimarisha taasisi za taifa na kulinda amani, utulivu na mshikamano wa wananchi.

View attachment 3555663
STUPID burger! All is stupid!
 
Ameshachotewa tanzanite huyo lazima acheze faulo , hakuna Kesi hapo
 
She is still a butcher...hana tofauti na Smith wa makaburu!

Muuaji No 1.
 
08 March 2026
Musoma, Tanzania

TANZANIA POLICE TEAR- GASSED WOMEN ON INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 2026​

View: https://m.youtube.com/watch?v=WGKoEigDUF0
SULUHU ‘S WOMEN’S DAY IN TANZANIA - “GREETINGS” TO OPPOSITION IS TEAR GAS
Happening right now in Musoma
As I told you - you are not dealing with rationale people but with brutes!

Prof. Palamagamba Kabudi and the others are just putting on a show because they are convinced y’all are stupid!I am here to tell you as it is! The only lasting peaceful solution

C.C

@UN_Women

@unwomenafrica
we expect your condemnation of this!

Cc
@commonwealthsec

@SGCommonwealth
#Tanzania On Women’s Day the police with orders from
@SuluhuSamia
personally are teargassing and assaulting women from main opposition party CHADEMA and detaining the women's at a police station

View: https://m.youtube.com/watch?v=xCoTqTBcLzo

TOKA MAKTABA:
Balozi wa Tanzania akihutubia UN mwaka 1974 alielezea jinsi utawala wa makaburu wa Afrika ya Kusini ulivyokuwa ukiwapiga viboko na mabomu ya machozi wanawake waliokusanyika...

Ambassador John Malecela New York 1974 addressing the United Nation problems of Mozambique, Guinea Bissau, Namibia and the non whites in South Africa

View: https://m.youtube.com/shorts/e6UAF6mNuGc
NOTE :
Thereafter SWAPO of Namibia attended various meetings of the OAU.22 After the hard work of
An informal organisation, the Africa Group of Ambassadors at the UN, was instrumental in bringing SWAPO into contact with various governments. During the early days of petitioning by SWAPO, the Tanzanian Representative to the UN, John Malecela (who later became Tanzania’s Foreign Minister and then Prime Minister), and other members of the group, introduced SWAPO’s petitioners to other UN diplomats.

John Malecela was a respected figure and access to UN diplomats became less problematic for SWAPO petitioners. Other diplomats such as ambassadors Abdul Wahab of Egypt and Vernon Mwaanga of Zambia also played a major role in assisting SWAPO take its first steps in international relations.23 By the time SWAPO convened the Consultative Conference that brought the exiled members of the movement together in Tanga, Tanzania from December 1969 to January 1970, the movement had nine resident diplomats accredited to Algeria, Botswana, Egypt, Finland, Sweden, UK, UN and US, Tanzania.
 
Bw. Parfait Onanga-Anyanga awe daraja la kupeleka maumivu ya watanzania UN, maana viongozi wa CHADEMA huzuiliwa kutoka nje ya mipaka ya nchi kwa pasipoti zao kuzuiliwa na mkuu wa Idara ya Uhamiaji Immigration aliyepewa maelekezo kutoka juu.

TOKA MAKTABA:

Oktoba 7 2025

Mkutano wa Parfait Onanga-Anyanga wa SRSG kuhusu Ushirikiano wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika | Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa | Mkutano wa 10012

View: https://m.youtube.com/watch?v=_O3uUjUM14M
Ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya amani na usalama barani Afrika, ikiwa ni pamoja na kazi ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa Umoja wa Afrika (S/2025/532). Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN kwa AU na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa AU (UNOAU) Parfait Onanga-Anyanga anatoa taarifa kwa baraza hilo. Chanzo: https://webtv.un.org/e...
 
Bw. Parfait Onanga-Anyanga awe daraja la kupeleka maumivu ya watanzania UN, maana viongozi wa CHADEMA huzuiliwa kutoka nje ya mipaka ya nchi kwa pasipoti zao kuzuiliwa na mkuu wa Idara ya Uhamiaji Immigration aliyepewa maelekezo kutoka juu.
TOKA MAKTABA :

1773133972607.jpeg

1773134031514.jpeg
 
09 March 2026

Mr.John Kitoka CHADEMA's Director of Foreign and Diaspora Affairs.

Tanzania's CHADEMA party has called for the immidiate release of all its arrested members​

View: https://m.youtube.com/watch?v=6rFvnLPmFqE
Tanzania's opposition, CHADEMA party has called for the immidiate release of all its members arrested during what it calls a peaceful commemoration of International Women's Day.

The call comes after police in the country's Musoma region fired tear gas and apprehended members of BAWACHA, the women's wing of the CHADEMA party, arresting at least 39 attendees, including the party's Secretary General, Pamela Maassa.

For more on what is happening on the ground, we were joined on the line by John Kitoka, CHADEMA's Director of Foreign and Diaspora Affairs.
 
Back
Top Bottom