Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twariqa, Sheikh Haruna Hussein, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kutumia kipindi cha baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya dua na kuliombea taifa...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi...
Yooote yanakwenda na mtaro wa maji machafu as long as maisha ya watu hukuyapa thamani na ukayapoteza.
1. Watu wasiojulikana walianza kipindi cha Magufuli
2. Where is Ben Saanane
3. ......And many...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu amekamatwa jioni ya Marchi 17, 2025 pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza...
Wakuu
Nimekutana na watu wengi huko status na Instagram wanampost Jiwe wakikumbuka kifo chake.
Wengine wanamsifia wanasema sijui watamkumbuka mara sijui alikuwa ana upendo kwa taifa
Yaani mtu...
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati...
Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya...
Mkoani Arusha katika ukumbi wa Centre House, Kanisani Road, Uzunguni kunafanyika mjadala wa wazi ukiangazia suala la Amani na yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa Octoba 29, 29.
Viongozi wa Dini...
Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29...
Akijibu hoja ya Athuman Mwachuma kuhusu baadhi viongozi wa dini kuwajengea chuki vijana katika mahubiri yao, Askofu Shoo amesema kuwa vijana wasikimbilie kuwalaumu viongozi wa dini kwa sababu...
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Athuman Mwachuma...
'Viongozi wengi wa kidini wamekuwa wakituendesha katika madhehebu yetu katika misikiti yetu lakini wengi sana wamekuwa na kasumba udini katika siasa zao, yaani kiongozi wa dini uko kanisani na...
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, kijana mmoja amehoji...
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa...
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi...
Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza...
KupitiaMjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaondelea leo Machi 18, 2026 katika ukumbi wa Centre House, Kijana mmoja amehoji ikiwa...
Mwananchi mmoja akizungumza katika Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa dini na wananchi juu ya amani ya yaliyotokea Oktoba 29, 2025, ameeleza kuwa kama vijana wanakuwa wanataka kutoa maoni kwa...
Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia...
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza leo Machi 18, 2026 Ikulu Dar es Salaamakipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini, amesema kwamba siku hizi misaada...