Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.

Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.

Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
 
Hivi kweli watanzania wamesahau mateso walopitia kipindi kabla ya hyo tarehe hadi kufikia kuweka kumbukumbu?

unajua machozi yaliyomwagika,damu iliyomwagika, hasara walizopata watu, vilema nk?

ni mwanadamu gani anaeweza kumkumbuka mtu katili kama mnyama.

kama kuna watu walimpenda kwa unyama wake basi wana mfanano wa tabia za kikatili.
Muache Mungu aitwe Mungu.

tunamshukuru sana kwa kututoa kwenye mateso na msalaba mzito toka 2015-17/3/2021 Hakika Mungu ni mwema sana
 
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.

Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.

Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha
. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Kila Rais ana umuhimu wake.
 
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.

Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.

Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Hakika.
 
hivi bado nyie sukumagang mpo? yaani uelewa wako mdogo na REGACY zako za kisukuma zichukuliwe serious kabisaaaa, KIDDING, ndio maana kwa mawazo kama yako mleta uzi tutaendelea kutawaliwa tu no matter what
Mashujaa wengine kama Mkwawa ,Sokoine n.k nimewajua vitabuni tu lakini kwa shujaa Magufuli acha tuseme ukweli anastahili kukumbukwa
 
Kwa uovu mwingi alioufanya, hata asipotengewa siku ya kukumbuka uovu wake, atakumbukwa tu.

Miaka mingapi imepita tangu Adolf Hitler atoweke lakini anaendelea kukumbukwa na Ujerumani, Wayahudi na watu wa Dunia nzima? Waovu huwa hawasahauliki, hivyo hawana sababu ya kutengewa siku maalum.

Kwa kawaida baya moja hukumbukwa kuliko 10 mema. Mkapa alifanya mazuri mengi maradufu ya Magufuli, lakini Mkapa, huenda miaka 50 ijayo, watakapjaliwa kuwepo hawatamkumbuka tena. Lakini Magufuli ataendelea kutajwa.

Hakuna mkristo asiyemfahamu Yuda Iskariote, lakini ni wachache sana wanaoweza kuwataja angalao mitume 7 wa Yesu Kristo.
 
Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli.

Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa kutengwa siku maalumu ya kumkumbuka na iwe ni mapumziko.

Hii itasaidia maumivu na mateso ya watu kuwa furaha. Pia, kwa kuwa tutahitaji kuwaenzi na Marais wengine waliotangulia na watakaotangulia mbele za haki, basi tarehe 17 ya mwezi wa tatu iwe ni mahususi kufanya hivyo ukiachana na Hayati baba wa Taifa ambaye ana siku maalumu ya kumbukumbu yake.
Ulifanya hiyo kumbukizi wewe na mkeo inatosha wengine hatuna ujinga huo
 
Back
Top Bottom