In fact,
sote ni mashahidi kwamba,
tangu kurejea kwake chadema akitokea CCM, mchungaji Msigwa amekua idle sana politically ndani ya chadema, na anafanya kila namna ya kisiasa ili awe relevant...
Diwani wa Kata ya Buguruni na Mjumbe wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zahoro Muhaji, amesema kero ya uchafu na uondoaji wa takataka imekuwa changamoto kubwa inayowakosesha usingizi...
Ni Makubaliano ya kile kinachoitwa nusu Mkate kati ya ACT Wazalendo na CCM.
Hii ni nafasi ambayo Mbowe alikuwa anaitamani, bahati mbaya chama chake kikasusia Uchaguzi.
Hata CHAUMMA...
Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado.
Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa...
Chivayo was among foreign figures connected to controversial electoral processes elsewhere in Africa and questioned why such individuals had access to many African Presidents.
Zimbabwe —
Chivayo...
03 September 2026
Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030
Is CCM at risk in 2027 ? Prof. Mihanjo reveals serious new details regarding Dr. Nchimbi and also...
Na Kijana Wa Ifoza
Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu mno kupata jina linalotikisa misingi ya utawala kwa hoja, ujasiri na misimamo isiyotetereka kama Tundu Antipas Lissu. Kwa miongo...
Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na...
BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku.
BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri...
Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo...
Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa.
Una maoni gani dhidi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Mwenyewe na Askari Shupavu Kanda Maalumu ya Dar es salaam Faustine Mafwele Ametua ndani ya Stendi ya Magufuli Kuangalia na kufuatilia hali ya Usalama katika stendi...
Japani wanavyofanya wakileta tanzagiza madereva sijui watasemaje kwa mfano, ni hivi japani kituo cha mabasi kama kile cha mbezi kuna kituo cha polisi ambacho kina dirisha la kioo kama vile dirisha...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026 amesafiri kwa treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Afya, Mohamed...
Kwa sababu hata haijulikani mtu anafanya biashara gani halali na hazionekani Mamlaka zikimdhibiti kwa namna yoyote ile.
So kwa imani yangu, naamini pesa zinazoendesha timu za mpira kama Singida...
Hamjambo!
Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa...
Asee mwamba katangulia. Nimefika Ghetto nafungua JF na FB nimeshtuka sana asee. Haya maisha hayana garantiii kabisa hata ukiwa na hela.
Halafu ajali za ndege ndogo hizi casena single engines na...
MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors.
A police statement said...