MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
Kuna mzee mmoja anaongea mambo ya maana tena mbele ya Rais.
Wakati nchi ya Singapore ilipohitaji kujiimarisha kiuchumi Rais Lee Kuan Yew alimfuata jamaa mmoja aliyekuwa ni muhasibu akamuomba aje awe Waziri wa Fedha alisaidie taifa lake. Jamaa akaacha mshahara mkubwa akaja serikalini akilipywa kama 30% ya mshahara wake. Wale jamaa walifanya vituko vikubwa vya mapinduzi ya uchumu Singapore leo ni superpower wa uchumi.
ni hilo tu. Naona yule babu kama muhindi mwenye lafudhi ya kichaga na nyele zenye mvi anafaa sana kwa kauli zake. Maana maneno ni matokeo ya kile kilichoujaza moyo.
Nafurahi sana kumsikia. Akipigwa brash kidogo atafaa.
Nawasilisha.
Mwenyekiti wa Chama cha Waendeshaji Watalii Tanzania (TATO), Wilbard Chambulo