Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,392
- 14,677
Kisiasa tuko vizuri sana sasa kama ni hivyo kwa nini tutumie hela ya umma kutafuta maridhiano wakati watoto mashuleni wanakaa chini na maji ni taabu sana sehemu nyingi za nchi hii???Tena waTanzania zaidi ya milioni 30, ambao miongoni mwao asilimia 98 walimchagua huyo anayetafuta maridhiano kwa udi na ubani!
Sijui anataka kitu gani tena toka kwa waTanzania hawa.
Licha ya hivyo, yeye mwenyewe hachoki kutamka kwamba "kisiasa tupo vizuri sana"!
Huyu mtu kichwani zinamtosha kweli?
Tunaongozwa na genge la wahuni hasa.. Hakuna wanasiasa ndani ya CCM.Kisiasa tuko vizuri sana sasa kama ni hivyo kwa nini tutumie hela ya umma kutafuta maridhiano wakati watoto mashuleni wanakaa chini na maji ni taabu sana sehemu nyingi za nchi hii???
muoneeni huruma maana ni DAMU za ndugu zetu aliowaua MO29 zinamuhangaisha. Hatokuwa na AMANI KAMWE!Tena waTanzania zaidi ya milioni 30, ambao miongoni mwao asilimia 98 walimchagua huyo anayetafuta maridhiano kwa udi na ubani!
Sijui anataka kitu gani tena toka kwa waTanzania hawa.
Licha ya hivyo, yeye mwenyewe hachoki kutamka kwamba "kisiasa tupo vizuri sana"!
Huyu mtu kichwani zinamtosha kweli?
"Huruma" kwa Samia Suluhu Hassan? HAPANA.muoneeni huruma maana ni DAMU za ndugu zetu aliowaua MO29 zinamuhangaisha. Hatokuwa na AMANI KAMWE!