TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.

Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.

IMG-20210820-WA0006.jpg

RIP mama Mtei
 
Pole sana Mzee Mtei, pole sana Mh. Mbowe, pole sana Mama Mbowe, poleni ndugu na wanafamilia kwa msiba huu.

Mungu mwenye uweza wote awapeni ujasiri na unyenyekevu katika kuyapokea mapenzi yake. Na katika hili Mungu awaimarisheni zaidi, ili hata katika hili, ukuu wa Mungu wetu ukazidi kuonekana na kustawi.

Pumziko la milele umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umjalie mtumishi wako.
 
Mbowe anasoma hii akiwa sero gani huko lumpango

USSR
 
Huyo mama mkwe nae ashakuwa mwendazake
Kuna kanuni muhimu sana katika Imani. Ukimtendea mtu wema na wewe wema huohuo utakurudia kwa njia tofauti.

Likewise ukifurahia mabaya kwa mwenzako na wewe baya hilohilo litakujia kwa njia nyingine. Bahati mbaya sana ngozi yetu hii imejaa Ubinafsi, hatukujaaliwa huruma kwa watu wasiotuhusu.

Ndio maana hata humu JF ukifuatilia taarifa za kuugua au misiba utaona comments za watu na DHIHAKA nyingi Simply they don't share the same Ideology etc.

Sometime tunapatwa na changamoto ngumu katika familia zetu lakini pengine ni mambo kama haya. Upo kwenye keyboard unadhihaki Msiba wa hasimu wako ktk siasa then siku kadhaa unauguliwa au kufiwa na WEWE UNAKOSA AMANI NA KUFEDHEHEKA.

Jamani hii kanuni inaishi na inazingatiwa sana na wenzetu wa Imani za BUDDHISM
 
Back
Top Bottom