Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.
Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha...
Hivi ni hisia zangu tu au kuna ukweli ktk hili? Nimeona safari za Raisi na Waziri Mkuu ktk mkoa wa Arusha zimekuwa nyingi mno. Imefikia wakati akiondoka Waziri Mkuu, basi Raisi naye anaingia...
Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:-
1. Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi.
2. Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya.
3. Kuwe na sheria moja ya...
Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na...
RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE
RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili...
Matamshi aliyoyatoa Simion Siro wakati wa kuaga miili ya askari waliouwawa wakitimiza majukumu yao na mhalifu Hamza yalikuwa sahihi kwa asilimia zote.
Ni kweli katika dunia ya leo yenye...
Sote tunashuhudia mabilioni ya fedha za miradi ya TAMISEMI kwenye Halmashauri kadhaa hapa nchini. Ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya nchi.
Tuna miradi ya shule, mabweni, vituo vya afya...
Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, Agosti 21 akiwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Rais Samia alitoa mapendekezo saba ya kufanyiwa kazi, likiwemo la kuanzishwa kwa Sheria...
haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za...
Sitaki kuchangia sana.
Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu...
Kwa heshima na taaadhima ninaomba malalamiko haya yawafikie tamisemi na wizara ya elimu.
Imekuwa tabia ya muda mrefu sana kwa watumishi wanaofanya kazi katika halmashauri ya songwe kukaaa...
Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri...
Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA...
Askofu Gwajima,
Kwanza sikubaliani na wewe katika suala la kukataa chanjo ya Corona kwa kadiri unavyowahubiria waumini wako. Binafsi nimeshachanjwa na ninahimiza watanzania wote wachanje tofauti...
Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa vyenye usajili kamili linatarajiwa kuanza kesho tarehe 30 Agosti, 2021.
Kwa mujibu wa barua na ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na...
Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda.
Aidha mchungaji Matsai...
Igweeeee
Kuna kipindi hawa wanaharakati wa mitandaoni walijaribu kuiaminisha jamii kwamba wakikomalia jambo lazima walifanikishe lakini sijawahi kuona mafanikio yao tangu maandamano ya mange...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi...
Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa.
Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama.
Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo...