Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,703
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

FB_IMG_16284183039319180.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

View attachment 1885097
Tangu apitishwe Ina Ile kitu ya mwaka 1977 , safari ni dar,Dodoma na mwanza . Ataweza kufika wilaya ya Serengeti ambako ndege hazitui?
 
... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

Soma hii Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri; ya jana tu (Dar) halafu leo huyooo karudi kule kule (Dom) na mawaziri wako barabarani mbio wanakimbilia kulekule walikotoka jana/juzi. Ninampenda sana huyu Mama ila dah; kwa mwendo huu anaanza kutuchosha sasa!
 
Back
Top Bottom