#COVID19 Wabunge tukachanje chanjo ya COVID-19 tusimsikilize Askofu Gwajima tusije kukosa vikao vijavyo

SOPINTO

Senior Member
Oct 19, 2020
155
385
Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine.

Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya Ubunge kwasababu ya kutokupata chanjo ambayo pia ni tija kwa afaya yako na wananchi wako unaowaongoza.

Niseme tu kuwa kila mbunge anajua jinsi alivyopambania nafasi yake iwe kwa njia ya haki au njia hisiyo ya haki.

Itasikitisha sana Mbunge unarudishwa getini kwasasababu eti ujapata chanjo ya korona mbaya zaidi kanuni zinakuelekeza vizuri tu juu ya nafasi yako ya Ubunge , kuchanja ni hiyari lakini tujue kuwa kumuambukiza mwenzako sio hiyari , sasa tukiwa viongozi wenye sura ya kulitangaza taifa kwanini tusichanjee...?

Najua hivi karibuni vikao vya Bunge vitaanza
 
Njia za kuzuia kuambukizana corona zinajulikana na tumezipuuza halafu tunaona hivyo vichanjo ndio vitazuia kuambukizana corona? hoja zengine ni za kipumbavu kweli.
 
Umaskini unaanzia mbali san hata akili kukosa akili ni umaskini wa fikra umeshasema kuchanja hiyari sasa nguvu nyingi za kulazimisha watu zinatoka wapi
 
Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine.

Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya Ubunge kwasababu ya kutokupata chanjo ambayo pia ni tija kwa afaya yako na wananchi wako unaowaongoza.

Niseme tu kuwa kila mbunge anajua jinsi alivyopambania nafasi yake iwe kwa njia ya haki au njia hisiyo ya haki.

Itasikitisha sana Mbunge unarudishwa getini kwasasababu eti ujapata chanjo ya korona mbaya zaidi kanuni zinakuelekeza vizuri tu juu ya nafasi yako ya Ubunge , kuchanja ni hiyari lakini tujue kuwa kumuambukiza mwenzako sio hiyari , sasa tukiwa viongozi wenye sura ya kulitangaza taifa kwanini tusichanjee...?

Najua hivi karibuni vikao vya Bunge vitaanza
Rubbish
 
Chanjo ni kama bange, mama Samia baada ya kudungwa jana kaanza kuwafananisha wanawake na wanaume, Gwaji girl kaanza kuleta story za kutestiwa kitandani, Spika kaanza kutaka wasiochanjwa wahojiwe.

Uzombi umeanza mapema kuliko tulivyo tarajia.
 
Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine.

Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya Ubunge kwasababu ya kutokupata chanjo ambayo pia ni tija kwa afaya yako na wananchi wako unaowaongoza.

Niseme tu kuwa kila mbunge anajua jinsi alivyopambania nafasi yake iwe kwa njia ya haki au njia hisiyo ya haki.

Itasikitisha sana Mbunge unarudishwa getini kwasasababu eti ujapata chanjo ya korona mbaya zaidi kanuni zinakuelekeza vizuri tu juu ya nafasi yako ya Ubunge , kuchanja ni hiyari lakini tujue kuwa kumuambukiza mwenzako sio hiyari , sasa tukiwa viongozi wenye sura ya kulitangaza taifa kwanini tusichanjee...?

Najua hivi karibuni vikao vya Bunge vitaanza
Huku bar mbona tunakaa nao tunapiga nao tuu bia bila kuchanjwa
 
Mtoa uzi ni punguani kabisa naamini una kichwa kikubwa lakini ubongo umejaa unga wa ndele na masizi!

Mpumbavu kabisa wee!
Wewe ni lipumbavu na kubwa la mapunguani. Kuna kipi kinachokufanya umtusi mwenzako hapo?

Nyie ndio Matahila wa JAMII FORUM
 
Nawewe unaingia kwenye orodha ya wajinga kama mleta uzi, mkuu wa nchi kasema chanjo ni hiyari sasa kwanini kuwapa adhabu ambao wame hiyari kutochanja?.
Sijui kwanini mnalazimisha watu kuchanja, watu wanaakili zao timamu wangeona uhitaji sasaivi wange kuwa wanapigana vikumbo kwenye foleni zachanjo.
 
Kwa hiyo wakichanja wataishi bungeni ili wasikutane hata na wapiga kura wao ili wasiambukizwe?! Au maana yake hapo ni nini
Maana yake wakichanjwa wabunge wote, watageukia kwa wapiga kura wao wote! :mad:
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Nawewe unaingia kwenye orodha ya wajinga kama mleta uzi, mkuu wa nchi kasema chanjo ni hiyari sasa kwanini kuwapa adhabu ambao wame hiyari kutochanja?.
Sijui kwanini mnalazimisha watu kuchanja, watu wanaakili zao timamu wangeona uhitaji sasaivi wange kuwa wanapigana vikumbo kwenye foleni zachanjo.
What fu*c*k are you talking about?

Sijazungumzia habari za chanjo hapo, wewe ni kichwa ngumu sana. Nilikuuliza sababu ya kumtus mleta uzi ni ipi?

Eti na wewe ni great thinker, hii dunia ina maajabu. Ungepaswa umjibu au kumchallenge kwa hoja siyo kuleta matusi ya vijiweni.

Fuc**k
 
Kuchanja ni hiyari lakini huna hiyari ya kuambukiza wengine.

Ndugu wabunge tusimsikilize Mbunge wa Kawe Askofu Gwajina kuhusiana na chanjo ya Korona , nawashauri nendeni mkachanje mpaka kadi zenu ili muendelee kuwatumikia wananchi katika majimbo yenu ni jambo la kusikitisha kuachia nafasi ya Ubunge kwasababu ya kutokupata chanjo ambayo pia ni tija kwa afaya yako na wananchi wako unaowaongoza.

Niseme tu kuwa kila mbunge anajua jinsi alivyopambania nafasi yake iwe kwa njia ya haki au njia hisiyo ya haki.

Itasikitisha sana Mbunge unarudishwa getini kwasasababu eti ujapata chanjo ya korona mbaya zaidi kanuni zinakuelekeza vizuri tu juu ya nafasi yako ya Ubunge , kuchanja ni hiyari lakini tujue kuwa kumuambukiza mwenzako sio hiyari , sasa tukiwa viongozi wenye sura ya kulitangaza taifa kwanini tusichanjee...?

Najua hivi karibuni vikao vya Bunge vitaanza
Ukiona mtu mzima anaandika hv ujue bado Kuna shida.
Ukichanjwa si kwamba hutaambukiza Wala kuambukizwa, tunaokataa chanjo hatuoni sababu ya kuwa majaribio Kwa kuwa hata ukichanjwa utavaa tu barakoa. Tuko tunasubir chanjo iliyofanyiwa utafiti wa kutosha, then tukavanje.
Kirusi Cha korona kishabadilika badilika hii ni mara ya 3, sasa sijui utapewa vyeti vingapi kikiendelea kubadilila.
 
What fu*c*k are you talking about?

Sijazungumzia habari za chanjo hapo, wewe ni kichwa ngumu sana. Nilikuuliza sababu ya kumtus mleta uzi ni ipi?

Eti na wewe ni great thinker, hii dunia ina maajabu. Ungepaswa umjibu au kumchallenge kwa hoja siyo kuleta matusi ya vijiweni.

Fuc**k
Kitendo Cha wewe kutukana badala ya kukemea, wewe na yy ni akili 1, hamchekani. You are all SADIST!

Kikubwa tukumbuke chanjo ni hiyari, na WA Tanzania wana AKILI. Kitendo Cha kulazimishana, kupiga piga makelele na kuhimizana, kuhojiana, watu hao wanafanya hivyo kutokana kuwa na upeo mdogo wa kufikiri.
 
Kitendo Cha wewe kutukana badala ya kukemea, wewe na yy ni akili 1, hamchekani. You are all SADIST!

Kikubwa tukumbuke chanjo ni hiyari, na WA Tanzania wana AKILI. Kitendo Cha kulazimishana, kupiga piga makelele na kuhimizana, kuhojiana, watu hao wanafanya hivyo kutokana kuwa na upeo mdogo wa kufikiri
Imebidi nimpe shit ili ajue maana hana sababu za msingi kumtus mtu aliyeleta uzi. Kama angeweza kutumia busara angemkosoa tu kwa maelezo yaliyo na maana ndani yake na siyo kumwambia mleta uzi ni punguani.

Anachotakiwa kuelewa na ikibidi umueleweshe ni kuwa, kila mtu anauelewa tofauti. Yawezekana mleta thread alielewa alivyoelewa na huyo anaejua kutukana alielewa alivyoelewa.

Sasa ya nini kuanzisha matusi?
 
Back
Top Bottom