Ni wakati wa Rais Samia kufanya ziara mikoani

JabraKitaa

Member
May 8, 2018
6
10
Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya paka na kuondoa aibu usoni kwenye kufanya maamuzi.

Kitendo cha kufanya ziara utawashutua na wajue kuna muda atakuja tu kwenye taasisi, mkoa, wilaya hata kata.

Hii ya kila siku unatoka AIRPORT YA DAR ES SALAAM kesho AIRPORT YA DODOMA unafuga msitu ambao utakuja tumia gharama nyingi sana kuja usafisha wakati ndio huu jua wananchi wako wanataka nini kuanzia PWANI, MOROGORO, DODOMA, SINGIDA, TABORA, SHINYANGA.

Ukitoka hapo siku nyingine unatua AIRPORT YA MWANZA Unaanza msafara MWANZA, GEITA unakuja kulala KAGERA wilaya ahadi wilaya hivyo hivyo ni sehemu ya kujifunza na kupata changamoto hii ndio kazi ambayo utajiweka karibu na wananchi wako sio kila saa uwe nimwenye kupokea report tu lazima uingie field huone na usikilize
 
Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya paka na kuondoa aibu usoni kwenye kufanya maamuzi. kitendo cha kufanya ziara utawashutua na wajue kuna muda atakuja tu kwenye taasisi, mkoa, wilaya hata kata. hii ya kila siku unatoka AIRPORT YA DAR ES SALAAM kesho AIRPORT YA DODOMA unafuga msitu ambao utakuja tumia gharama nyingi sana kuja usafisha wakati ndio huu jua wananchi wako wanataka nini kuanzia PWANI, MOROGORO, DODOMA, SINGIDA, TABORA, SHINYANGA. Ukitoka hapo siku nyingine unatua AIRPORT YA MWANZA Unaanza msafara MWANZA, GEITA unakuja kulala KAGERA wilaya ahadi wilaya hivyo hivyo ni sehemu ya kujifunza na kupata changamoto hii ndio kazi ambayo utajiweka karibu na wananchi wako sio kila saa uwe nimwenye kupokea report tu lazima uingie field huone na usikilize

354506.jpg
 
Watz wanatakiwa kuwa na mtawala mkali kama Magufuli, hawa wengine kama Samia wamejaa ujanja ujanja tu
 
Back
Top Bottom