Tanzania Kituo Kipya cha Visa Marekani Afrika

Tanzania Kituo Kipya cha Visa Marekani Afrika

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
523
Reaction score
495
Kuwa mwanaharakati ni tatizo maana unaowaamini nao wanawaamini usiotaka wawaamini! Mnahisi mnasogea kumbe mnarudishwa kinyume nyume!!

Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya vituo 20 pekee vya Afrika vitakavyoshughulikia maombi ya visa za Marekani chini ya mfumo mpya wa marekebisho ya huduma za ubalozi wa Marekani barani Afrika.

Hatua hii inaimarisha nafasi ya Tanzania kama nchi yenye umuhimu mkubwa kikanda, mahusiano mazuri ya kidiplomasia, na nafasi ya kimkakati katika Afrika Mashariki.

Jiji la Dar es Salaam sasa litahudumia waombaji wa visa kutoka nchi mbalimbali za ukanda huu, jambo linalotarajiwa kuongeza uunganishwaji wa kikanda, biashara, safari na ushirikiano wa kimataifa.
20260604_094927.jpg
 
Kuwa mwanaharakati ni tatizo maana unaowaamini nao wanawaamini usiotaka wawaamini! Mnahisi mnasogea kumbe mnarudishwa kinyume nyume!!

Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya vituo 20 pekee vya Afrika vitakavyoshughulikia maombi ya visa za Marekani chini ya mfumo mpya wa marekebisho ya huduma za ubalozi wa Marekani barani Afrika.

Hatua hii inaimarisha nafasi ya Tanzania kama nchi yenye umuhimu mkubwa kikanda, mahusiano mazuri ya kidiplomasia, na nafasi ya kimkakati katika Afrika Mashariki.

Jiji la Dar es Salaam sasa litahudumia waombaji wa visa kutoka nchi mbalimbali za ukanda huu, jambo linalotarajiwa kuongeza uunganishwaji wa kikanda, biashara, safari na ushirikiano wa kimataifa.View attachment 3600923
Sawasawa!
 
Leo wamarekani wamekuwa wazuri, Marekani ni kama maji usipoyanywa lazima uyaoge.
Kwa hapa Afrika Mashariki.

Tanzania huwezi iondoa kwa lolote.

Si umeona hata Ruto anapendekeza refinery ijengwe hapa.
 
you dont really get it, USA haina shida na sisi kama nchi na wananchi bali ina shida na hii evil regime usichanganye mambo, hii regime ikiondoka na inaondoka tunaendelea na uhusiano wetu na USA kama kawaida sasa kwa nini USA aache kuinvest kwetu for future?

hii regime inapita tanzagiza inabakia …
 
Pia anashindwa kuelewa kuwa idadi ya wamarekani kuja Africa, Tanzania inaweza kuhost asilimia kubwa sana kutokana na uwepo wa Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro, Zanzibar beaches and so on, hawawezi jifungia chimbo lao la mapumziko ya hapa na pale, ila ile misaada ya kifedha kwenda direct kwa government na sharing of security intelligence vinaweza kuwa compromised kuipunguza nguvu serikali hii ovu.
 
Back
Top Bottom