Njoo tumsaidie Tundu Lissu kupanga Baraza la Mawaziri

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Habari za asubuhi,

Kwa heshima aliyotupa Tundu Lissu kuja humu kujibu maswali, naomba kupitia hii mada tumsaidie kupanga Baraza la Mawaziri endapo atashinda.

1. Waziri wa mambo ya ndani. EZEKIEL D. WENJE

2. Waziri wa Afya

3. Waziri wa nishati na madini GODBLESS J . LEMA

4. Waziri wa jeshi na kujenga Taifa JOHN HECHE

5. Waziri wa habari na micheze JOSEPH HAULE & TUMAIN MAKENE

6. Waziri kilimo na chakula ESTER MATIKO

7. Waziri wa katiba na sheria JOHN MALYA & HALIMA MDEE

8. Waziri wa fedha na mipango AMAN GOLUWA & ZITTO KABWE

9. Waziri wa utalii BONIFACE JACOB

10. Waziri Mkuu FREEMAN MBOWE

NOTE: Mkuu ukipita hakikisha Kurlzawa unanipa ukuu wa mkoa wa Dar.

Kila laheri

NAKUOMBEA UHAI KWENYE NYAMA DAMU NA MIFUPA.
 
Kumbuka itakua serikali tatu. Sasa hapo ni Tanganyika au muungano🤔🤔
 
Nampenda sana Chadema washinde but on the look of things hawana experience, hapa ndipo naona chama cha kijani kinapo piga kasia.
 
Wizara muhimu kabisa kwa ustawi wa uchumi wetu ni FEDHA na MIPANGO; hapa "ACADENICIAN" hafai kabisa. Anatakiwa mtu anayejua SEKTA Binafsi inavyofanya kazi, changamoto zake na namna ya kuikuza ili kuongeza mapato ya serikali bila kuua biashara za watu
 
Inawezekana kabisa Lissu akapata kura nyingi za urais ikitokea hivyo hatakuwa na wabunge wengi kama ilivyo kwa chama cha mapinduzi.

Ukizingatia katiba ya Jamhuri ya Muungano juu ya waziri mkuu nawiwa kusema itamlazimu ateue kutoka upande wa pili.

Pendekezo langu mimi nafasi ya waziri mkuu ni mzee George Mkuchika kama atashinda ubunge maana hali yake jimboni siyo nzuri sana.

Kwanini George Mkuchika
1 anakubalika na wanaccm wengi hivyo italeta utulivu kwa wanaccm na kuondoa chokochoko dhidi ya serikali.

2 Mzee Mkuchika ni captain mstaafu wa jeshi hivyo itakuwa kete ya kuwa inharmony na jeshi la wananchi wa Tanzania.

3 Mzee Mkuchika ni mzoefu katika serikali kuliko mwanasiasa yeyote aliyeko kwenye siasa kwa sasa hii itamsaidia kumshauri vizuri rais.

4. Mzee Mkuchika ana busara walau kidogo ukilinganisha na wanaccm kadhaa walioko kwenye siasa wakati huu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Lisu hatapata wabunge zaidi ya 10 hizo kura za urais anatoa wapi?
 
Back
Top Bottom