Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kumteua Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mwakilishi Maalum wa AU kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu. Mwenyekiti wa Tume ya AU...
1 Reactions
16 Replies
361 Views
Ndugu yangu Mtanzania, Habari Ni kama inavyosomeka =========== Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata...
2 Reactions
26 Replies
961 Views
Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao Kama vile utaishi milele. Lakini...
11 Reactions
18 Replies
383 Views
Wananchi maskini ni mda wa kuacha shobo na awamu ya 6 watoto wenu mliona walivyotandikwa risasi za kutosha na kufa kama kuku hiyo yote wananchi au watoto wa maskini kutimiza uwajibu wao kikatiba...
7 Reactions
11 Replies
252 Views
Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa. Hivi ni kweli kuwa...
2 Reactions
11 Replies
227 Views
Wakati wa Kampeni zozote za Uchaguzi, kwenye Jimbo la Isman, Mh Lukuvi alikuwa analipa vilabu vyote vya Ulanzi vya Jimbo hilo ili wananchi wanywe bure kwa miezi mitatu mfululizo Hili lilikuwa...
15 Reactions
30 Replies
814 Views
"Magari ya serikali mara zote yanaonekana kuwa na haraka! Hali hiyo ya haraka haionekani popote katika majukumu yao rasmi. Kwa nini?"
12 Reactions
20 Replies
465 Views
Amesema taarifa hizo zitaisaidia serikali kuzitwaa ardhi hizo kwa kuwa raia wa kigeni hawaruhusiwi kumiliki ardhi nchini na kufanya hivyo ni kukiuka sheria. Akitoa hotuba kwenye mkutano Mkuu wa...
3 Reactions
249 Replies
38K Views
WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4 Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya...
0 Reactions
3 Replies
582 Views
Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo. Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
1 Reactions
10 Replies
215 Views
Harbinder Singh Sethi (Singasingal, mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited IPTL) na Pan African Power Limited (PAP), amesafishwa na Jeshi la Polisi...
9 Reactions
25 Replies
778 Views
Kuna taarifa zimejaa huku kwetu mtaani hasa maeneo ya Masaki na Mikocheni, Vijana walio Karibu na Mzee Lukuvi wanatabanaisha kuwa Kuna mipango imesukwa Muda mrefu ya Mzee Lukuvi anaandaliwa kuwa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba, hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo na kulifanyia kazi. Hawawezi kuungana kumpiga kwasababu...
3 Reactions
6 Replies
194 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi . kwa Hakika Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa kuta za Whitehouse Marekani. Na Kila Mmoja atakaa...
4 Reactions
38 Replies
626 Views
Hi. Aisee sijaona mtu kufananisha mlima na kichuguu. .Mwigulu is nothing over Magufuli. Magufuli was another machine, real talented and problems solver. Acheni kumfananisha Mwamba jiwe na Wahuni...
3 Reactions
7 Replies
190 Views
Wanabodi, Huu ni wito wangu na ushauri wangu wa bure kwa Bernard Membe, asibishane na Maaskofu, amsamehe tuu huyu mwana fani mwenzetu, wakati alipokuwa akiyatenda hayo na kufanya makosa yale...
37 Reactions
283 Replies
24K Views
Wanabodi Nimeona majina ya wagombea Uspika wa Bunge la JMT Thread 'Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania' GE2025 - Vigogo Sita wa CCM kuwania...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Wanabodi, Habari za Jioni!. Niko kwenye social function fulani, MC wa Sherehe hii ni mmoja wa MC wakongwe nchini na mahiri, ila aliniboa alipotangaza rasmi kuwa miongoni mwa wageni waheshimiwa...
7 Reactions
80 Replies
12K Views
Hii ni kwa sababu Jukumu la Ulinzi ni la KILA Mwananchi. Kingine ni hiki hakuna uzembe uliozidi kipimo kama ule wa kuibiwa mali zako kibwege bila juhudi zozote za kulinda Kwa mfano, Kwenye...
16 Reactions
28 Replies
492 Views
Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu...
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…