Wizara ya Mambo ya ndani inaweza kumpendeza sana mwamba Makonda. Siku akisimikwa Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa Whitehouse Marekani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
38,272
Reaction score
24,856
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi .

kwa Hakika Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa kuta za Whitehouse Marekani.

Na Kila Mmoja atakaa Mguu Sawa.

Timu ya Rais Samia Ya Baraza la Mawaziri ni nzuri sana na imesheheni wachezaji wenye vipaji vya uchezaji.

Sasa Hapa Kuna wachezaji Ambao kuna Namba ukiwapanga . Ni lazima Majukwaa ya mashabiki yawe na msisimko wa kipekee.

Sasa Huyu Mwamba Paul Makonda Kwa Haiba yake na Mambo yake akitokea Kasimikwa Kwenye Wizara Hiyo ya Saluti. Heee Sijui . Ngoja nikae kimya tu nisimalize Utamu Wa Habari.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Itakuwa akiunguruma Mpaka mashirika ya Habari kama CNN au BBC au Aljazera Yatakuwa Yanaripoti kama Habari kuu kwenye TV zao.

Yaani CCM ina Hadhina ya wachezaji Mpaka unashindwa nani akae wapi na nani aanze kikosi cha kwanza. Yaani wote ni mastaa Hatari na wenye kasi ya hatari kwelikweli.

Mwamba Mwenyewe Huyu Hapa
Screenshot_20260125-212758_1.jpg

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi .

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Atagombana na polisi na wakienda kumchongea juu ataondolewa. Maana boss hawezi kuacha kuwasikiliza mapolisi ambao walimvusha oct. Ili aendelee kuwepo kwenye mfumo unatakiwa kumuombea abaki palepale alipo. Umeelewa bwana mwashambwa wa Mbozi ichenjezya?
 
Haramu ni haramu tu!

Mjinga kabisa wewe kama huyo zero brain wa Kolomije.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi .

kwa Hakika Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa kuta za Whitehouse Marekani.

Na Kila Mmoja atakaa Mguu Sawa.

Timu ya Rais Samia Ya Baraza la Mawaziri ni nzuri sana na imesheheni wachezaji wenye vipaji vya uchezaji.

Sasa Hapa Kuna wachezaji Ambao kuna Namba ukiwapanga . Ni lazima Majukwaa ya mashabiki yawe na msisimko wa kipekee.

Sasa Huyu Mwamba Paul Makonda Kwa Haiba yake na Mambo yake akitokea Kasimikwa Kwenye Wizara Hiyo ya Saluti. Heee Sijui . Ngoja nikae kimya tu nisimalize Utamu Wa Habari.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Itakuwa akiunguruma Mpaka mashirika ya Habari kama CNN au BBC au Aljazera Yatakuwa Yanaripoti kama Habari kuu kwenye TV zao.

Yaani CCM ina Hadhina ya wachezaji Mpaka unashindwa nani akae wapi na nani aanze kikosi cha kwanza. Yaani wote ni mastaa Hatari na wenye kasi ya hatari kwelikweli.

Mwamba Mwenyewe Huyu HapaView attachment 3563782

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Attachments

  • downloadfile-38.png
    downloadfile-38.png
    2.7 MB · Views: 12
Makonda ndiye alishirikiana na wanamtandao kumuua Magufuli ndiyo maana unaona utawala wa sasa unamkumbatia saaana huyu nyamitako kwani ni mshirika wao katika uovu waliofanya. Magufuli alichelewa sana kugundua kuwa alikuwa anaishi na nyoka na alivyogundua it was already too late the damage was done. Hatutashangaa Makonda akipewa wizara hiyo lakini na yeye watakuja kummaliza kwani wana agenda yao na Makonda hatakuwa sehemu ya agenda hiyo.
1745473930974~3.png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Mwamba siku Akiwekwa Wizara ya Mambo Ya Ndani ya Nchi .

kwa Hakika Nchi itatetemeka na kishindo chake kitatikisa kuta za Whitehouse Marekani.

Na Kila Mmoja atakaa Mguu Sawa.

Timu ya Rais Samia Ya Baraza la Mawaziri ni nzuri sana na imesheheni wachezaji wenye vipaji vya uchezaji.

Sasa Hapa Kuna wachezaji Ambao kuna Namba ukiwapanga . Ni lazima Majukwaa ya mashabiki yawe na msisimko wa kipekee.

Sasa Huyu Mwamba Paul Makonda Kwa Haiba yake na Mambo yake akitokea Kasimikwa Kwenye Wizara Hiyo ya Saluti. Heee Sijui . Ngoja nikae kimya tu nisimalize Utamu Wa Habari.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Itakuwa akiunguruma Mpaka mashirika ya Habari kama CNN au BBC au Aljazera Yatakuwa Yanaripoti kama Habari kuu kwenye TV zao.

Yaani CCM ina Hadhina ya wachezaji Mpaka unashindwa nani akae wapi na nani aanze kikosi cha kwanza. Yaani wote ni mastaa Hatari na wenye kasi ya hatari kwelikweli.

Mwamba Mwenyewe Huyu HapaView attachment 3563782

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Look at this idiot
 
Makonda ndiye alishirikiana na wanamtandao kumuua Magufuli ndiyo maana unaona utawala wa sasa unamkumbatia saaana huyu nyamitako kwani ni mshirika wao katika uovu waliofanya. Magufuli alichelewa sana kugundua kuwa alikuwa anaishi na nyoka na alivyogundua it was already too late the damage was done. Hatutashangaa Makonda akipewa wizara hiyo lakini na yeye watakuja kummaliza kwani wana agenda yao na Makonda hatakuwa sehemu ya agenda hiyo.View attachment 3563804
Acha ujinga wako hapa wewe. Jitu kama wewe unafaa Kutokuwepo Duniani
 
Hiyo wizara ina
Kitu gani cha maana kuzidi wizara zote zaidi ya kutumia Genge la police na Tiss kufanya mauaji ya wakosoaji wa serikali?
 
Back
Top Bottom