Wanaotaka kugombea urais 2030: Wananchi tunataka tuwajue

D

DeletedMember281674

Guest
Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo.

Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
 
Ebu ngoja tuone...🫠
 
Attachments

  • VID-20260303-WA0025.mp4
    3.2 MB
Inaumiza sana kuona kipaumbele number moja cha taifa la Tanganyika ni urais na si mambo mengine yote ya msingi
Hii yote imechangiwa na kuipa siasa thamani na hadhi kubwa kuliko taaluma na weledi
Yaani wanajipima na fulani kwamba kama yeye kaweza kuwa rais basi hata wao hawashindwi🤬🤬🤬
 
Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo.

Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
Gentleman,
agenda ya Taifa kwa letu kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi.
 
Huyu hakubariki ndani ya chama na kwa watanzania kwa jumla hakuweza kukemea mauuwaji ya 29,Oct. tena huyu ni sehemu ya hi serikali haramu, kama anataka Uraisi ajitoa kwanza ndo watanzania waanze kumfikiria kwamba ana nia nzuri nao.
 
suala hapo sio kukubalika gentleman,
jambo muhimu hapo ni mustakabali mwema na wa uhakika wa amani, umoja na ustawi wa Taifa letu. Full stop.

hakuna haja ya kubabaika na kujisumbua tofauti na agenda hiyo ya taifa gentleman.
kawaambie nyumbani na kwenye chama chako bila kificho kuhusu hilo..
 
Kwahiyo unamaanisha hata asipo kubalika ataibia kura kama kawaida? kwa hali ya kulazimisha mtauua wa Tanzania wengi kuliko walio uuliwa tarehe 29/oct
 
gentleman,
hakuna haja ya kuleta porojo nonsense na dead mindset za sijui kuibiwa kura na wakati huna na hupigi kura.

chukua hiyo agenda na ukawaelezee nyumbani, itakusaidia sana mbeleni.
huna haja ya kumbwelambwela na vitu nonsense.
 
Back
Top Bottom