Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati CCM inajiandaa kushiriki kampeni za urais tumepata taarifa kuwa lipo shinikizo kutoka kwa mkulu wa kaya ili January Makamba apewe kampeni meneja wa Mhe John Magufuli. Kwa ufahamu wangu...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wadau salaamu mimi sina mengi sana zaidi ya kuomba waheshimiwa hawa wa J. Makamba, Prof Makame na Tcra, kwa kweli waongeze nguvu katika kusimamia hii mitandao ya simu hasa mabadiliko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu mtia nia ambaye pia ni Naibu waziri wa wizara ya mawasiliano na Mtu aliyekuwa mstari wa mbele katika kushadadia kupitisha sheria za kuzuia uharifu mtandaoni na moja ya Sheria zilizopitishwa...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Nakuheshimu na nakutakia kila la kheri katika harakati zako lakina kuwa naibua waziri wa wizara ya mawasiliano isiwe sababu ya kusumbua watu wasi hata mashabiki wa chama chako. Acha mara moja...
3 Reactions
109 Replies
15K Views
Niseme kuwa katika wagombea wa CCM angalau January katoa 'picha' atakuwa Rais wa namna gani akiweza kufika.....wengine wengi hatujui misimamo yao ya mambo mengi. Sasa leo katika hotuba yake ya...
62 Reactions
113 Replies
18K Views
Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu...
2 Reactions
0 Replies
841 Views
January Makamba azomewa na mamia ya wanafunzi katika uchaguzi wa viongozi wa shirikisho hilo kwenye ukumbi wa Karimjee... Kama imefikia hatua ya kuzomewa na wanafunzi ni muda mwafaka wa...
3 Reactions
54 Replies
11K Views
January Makamba yupo nyuma ya MB 8 Ni mpango ulio sukwa nginganginga ili kuwafungia vijana (wanafunzi wa secondary na vyuo) kufanya mawasiliano ya kupashana na kubadirishana mawazo juu ya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya mjadala mkali jana kwenye mtandao wa twitter, leo dada yake na Januari amemrukia Dr Kigwangalla na kumuita 'irrelevant'. Dada huyu, ambaye aliwahi kuripotiwa kumtafuti Januari dola...
2 Reactions
117 Replies
20K Views
Pamoja na kujitangaza sana katika media (magazeti, tv na radio) na kwenye mitandao ya kijamii, January Makamba bado ameshindwa kuonyesha mvuto wake katika utendaji, kijana huyu anayejiona MSOMI wa...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuelekea miezi ya uchaguzi mengi yameendelea kujitokeza na wenye kutamani kufika pale alipo JK wameendelea kutafuta mbinu mbalimbali za kuweza kushawishi wapiga kula wao. Asubuhi napita...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wabunge wa kuteuliwa na Rais walioko bungeni mpaka sasa ni 1.Bashiru Ally 2.Humphrey Polepole 3.Leonard Chamuriho 4.Dorothy Gwajima 5.Liberata Mulamula 6.Stergomena Tax Kwa orodha hii sio rahisi...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa!! Naona kuna vuguvugu (fukuto) la aina yake hapa Nchini la Madai ya KATIBA MPYA likiongozwa zaidi na kundi la Chama cha Siasa (CHADEMA). Mimi pia ni muumini wa kuunga mkono...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”...
21 Reactions
108 Replies
10K Views
Mbunge wa Chato, Mh Medard Kalemani ndio mbunge pekee katika awamu ya tano kuwa na kasi kubwa ya maendeleo jimboni kwake kuliko Mbunge mwingine yoyote. Ni takribani miaka miwili toka achaguliwe...
12 Reactions
40 Replies
8K Views
Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa...
40 Reactions
107 Replies
11K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa Amesema hajazuia mikutano ya ndani...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu,tunahitaji Serikali ya mseto,pengine wanasiasa hususani wa Tanganyika tumezidiwa kwa kiasi kikubwa na upande wa Zanzibar, wao wako mbele na wanazidi kutunyonya watanganyika...
1 Reactions
7 Replies
668 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…