William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.

Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'

Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William wakiomba akawaombee msamaha.

Vyanzo vya uhakika vinatabanaisha Magufuli alimpenda William kwa sababu ni mkweli na hakuwahi kumdanganya hata alipotaka ukweli wa jambo fulani kutoka kwa wachunguzi ilibainika ni kweli.

Walio karibu na JPM wanadai wakati fulani 2020 alifikiria kumteua William awe Waziri Mkuu.

Hata ile kauli ya JPM ya kusema William na mwenzake ni wazee hawawezi kuwa Rais ilikuwa ni geresha tu bali 2025 KWA NGUVU YA JPM WILLIAM ANGEKUWA MGOMBEA WA U RAIS TANZANIA kupitia CCM.

Nyongeza:

Baada ya Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi chaguo la Magufuli ilikuwa Chongolo amteue kuwa Katibu mkuu wa CCM

Kwa hiyo Chongolo hayupo hapo kwa bahati mbaya mama aliendeleza tu huo uteuzi kwa sababu alikuwa anajua.
 
Lukuvi akipewa nafasi ya kugombea urais 25, nitampigia kurayangu, kwaharaka haraka namuona yeye ccm ingawa wapo wengine. Na sitamchagua kwa sababu ya ccm maana siwapendi nitamchagua yeye kama yeye kama nilivyo fanya kwa magu 2020.
 
Lukuvi akipewa nafasi ya kugombea urais 25, nitampigia kurayangu, kwaharaka haraka namuona yeye ccm ingawa wapo wengine. Na sitamchagua kwa sababu ya ccm maana siwapendi nitamchagua yeye kama yeye kama nikivyo fanya kwa magu 2020.
Elimu yake vipi?
 
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.

Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'

Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William wakiomba akawaombee msamaha.

Vyanzo vya uhakika vinatabanaisha Magufuli alimpenda William kwa sababu ni mkweli na hakuwahi kumdanganya hata alipotaka ukweli wa jambo fulani kutoka kwa wachunguzi ilibainika ni kweli.

Walio karibu na JPM wanadai wakati fulani 2020 alifikiria kumteua William awe Waziri Mkuu.

Hata ile kauli ya JPM ya kusema William na mwenzake ni wazee hawawezi kuwa Rais ilikuwa ni geresha tu bali 2025 KWA NGUVU YA JPM WILLIAM ANGEKUWA MGOMBEA WA U RAIS TANZANIA kupitia CCM.

Nyongeza:

Baada ya Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi chaguo la Magufuli ilikuwa Chongolo amteue kuwa Katibu mkuu wa CCM

Kwa hiyo Chongolo hayupo hapo kwa bahati mbaya mama aliendeleza tu huo uteuzi kwa sababu alikuwa anajua.
Haya Wai chato kafagilie kaburi akili ziwarudi,eti Chongolo ilikuwa pia ateuliwe na dikteta kushika hiyo nafasi,

Nyie Ni mazuzu,mnampigania maiti
 
Lukuvi akipewa nafasi ya kugombea urais 25, nitampigia kurayangu, kwaharaka haraka namuona yeye ccm ingawa wapo wengine. Na sitamchagua kwa sababu ya ccm maana siwapendi nitamchagua yeye kama yeye kama nikivyo fanya kwa magu 2020.
Umewahi kufika jimboni kwake?!
 
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.

Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'

Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William wakiomba akawaombee msamaha.

Vyanzo vya uhakika vinatabanaisha Magufuli alimpenda William kwa sababu ni mkweli na hakuwahi kumdanganya hata alipotaka ukweli wa jambo fulani kutoka kwa wachunguzi ilibainika ni kweli.

Walio karibu na JPM wanadai wakati fulani 2020 alifikiria kumteua William awe Waziri Mkuu.

Hata ile kauli ya JPM ya kusema William na mwenzake ni wazee hawawezi kuwa Rais ilikuwa ni geresha tu bali 2025 KWA NGUVU YA JPM WILLIAM ANGEKUWA MGOMBEA WA U RAIS TANZANIA kupitia CCM.

Nyongeza:

Baada ya Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi chaguo la Magufuli ilikuwa Chongolo amteue kuwa Katibu mkuu wa CCM

Kwa hiyo Chongolo hayupo hapo kwa bahati mbaya mama aliendeleza tu huo uteuzi kwa sababu alikuwa anajua.

Nafikiri ndo mtu Pekee ambaye:

1 alipendwa na Magufuli.
2 tunampenda wa Tanzania
3. Generally anakubalika

Sababu:

Pamoja na ubaya wa Magufuli administration amesimamia ukweli 100%.
 
Lukuvi huyuhuyu aliyefokewa na kuambiwa kampatia kazi mkewe ATCL kwa upendeleo kutumia cheo chake cha uwaziri na kulazimika kumuachisha kazi ndio alikua kipenzi cha Jiwe!!??? Sasa kama hauelewani naye inakuaje?
 
Back
Top Bottom