CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,937
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.

1631288920649.png
 
View attachment 1932260

Ujumbe wako hasa ni upi hasa,funguka ueleweke.
 
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.

View attachment 1932260
Mbowe hata akifungwa miaka 100
Sioni chochote utakachofaidika nacho
Maana huyo Mbowe ameshafanya kila kitu hapa duniani

Ni tajiri
Yuko na mtaji wa watu hata akipigwa faini Bil 100 bado hatokaa jela.

Angalizo magufuli amekufa na hatorudi tena . na Mbowe hatofungwa .
 
Hapo kuna fabrication za uwongo

Nikweli ikibanika tigo na airtel wameshiriki kwa uovu huu

Lazima tuwagomee na kuchapa line zao zote.

Hilo halina mjadala wala ubishi
 
Unajichanganya, mara hata akifungwa, mara atalipa bil 100, mara hatofungwa! Lipi ni lipi?
 
Hapo kuna fabrication za uwongo

Nikweli ikibanika tigo na airtel wameshiriki kwa uovu huu

Lazima tuwagomee na kuchapa line zao zote.

Hilo halina mjadala wala ubishi
Kama mlivyogoma kutoa na kutuma pesa kwa sababu ya tozo?
 
Hapo kuna fabrication za uwongo

Nikweli ikibanika tigo na airtel wameshiriki kwa uovu huu

Lazima tuwagomee na kuchapa line zao zote.

Hilo halina mjadala wala ubishi
Kama mnafanya haya mkijua mkititafutacho sawa,ila naa mini Airtel ni wabia na sirikali na tigo ni mtafutaji wa kujitafutia, hivyo majaribio ya kuharibu majina ya biashara kwa sababu za siasa sii sawa, nafikiri siasa zetu , zijiepushe na mazingira hayo kwa manufaa ya taifa na wazalendo halisi.
 
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.

View attachment 1932260
Hivi huyu MBOWE si anyongwe tu akajiunge na gaidi mwenzake Hamza, watuachie dunia yetu yenye salama?

Ila yasije yakawa ugaidi Kama wa Hichilima, ugaidi msingizio
 
Hapo kuna fabrication za uwongo

Nikweli ikibanika tigo na airtel wameshiriki kwa uovu huu

Lazima tuwagomee na kuchapa line zao zote.

Hilo halina mjadala wala ubishi
Maviiii mliwahi kuendesha hii kampen ila mpaka sasa lain bado mnazo
 
Back
Top Bottom