BBC wameonyesha gereza la Guantenamo walikohifadhiwa walipuaji wa September 11, kiukweli gaidi hawekwi Ukonga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Nimeliangalia pande zote gereza la Guantenamo wanakoshikiliwa walipuaji wa Marekani mnamo September 11 mwaka ule, kiukweli Ugaidi siyo mchezo.

Peter Msembi wa BBC Dira ya Dunia aliyefika Guantenamo na kuishia nje ya gereza anasema watuhumiwa wana zaidi ya miaka 20 mahabusu na hakuna dalili ya shauri kusikilizwa.

Nikafikiria tu hapa Tanzania gereza gani anaweza kuhifadhiwa gaidi wa kiwango cha kimataifa.
Kiukweli tuupige vita ugaidi na viashiria vyake vilivyoachwa na yule Hamza.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
images (2) (14).jpeg
 
Mkuu ingenoga zaidi kama ungechombeza kidogo na ukada wa gaidi uliyemtaja. Na maana Hamza kada kindakindaki wa CCM.
 
Back
Top Bottom