Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Dr. Rugemeleza A.K Nshala, rais mstaafu wa Tanganyika Law Society TLS amesema mfumo wa Jinai Haki ( Criminal Justice System) wa nchini Tanzania unahitaji mabadiliko makubwa kwa kufumuliwa na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zangu kwa Tanzania hakuna shirika la uma ambalo limepitia changamoto kama shirika la umeme TANESCO.Shirika hili tangu kipindi Cha Mzee wa ruksa wanasiasa walianza kulitumia kama kitega...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma. Hii maana yake nini. Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu. Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki. Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa...
2 Reactions
2 Replies
885 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Nguvu ya Chadema ni kubwa sana ndani ya Tanzania , na ndio maana Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi alipoona Chadema imekataa kukutana na IGP kwa hoja nzito...
28 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
NAWAANDIKIA kuwahimiza vijana wa CCM kuipigania CCM na serkali yake popote mtakapokuwa, iteteeni CCM, mtetee Rais wetu Samia Suluhu Hassan, semeni mema yanayofanyika na awamu ya sita kwa nguvu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilishaandika maandiko mengi juu ya fikra za watawala wetu na Demokrasia tunayoiamini.. Ubaya NI kwamba Uchina ilipiga hatua kuanzia 1980 baada ya kufata Utawala wa kimagharibi. Waliporuhusu...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Kijana mmoja aliyeonekana kama machinga amenusurika kipigo ndani ya daladala la Posta - Makumbusho baada ya kumwambia konda amshushe kituo cha Hamza akimaanisha Ubalozi. Abiria wenye hasira...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
16 September 2021 Dar es Salaam, Tanzania Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na...
10 Reactions
59 Replies
8K Views
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria. Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Kuepuka kuonekana mbaguzi epuka kulalia upande mwingine. Position nzuri kuassume ni traditional position na kuacha kabisa kuzungumzia tena jinsia... Huwezi msikia Chansela wa ujerumani akisemea...
2 Reactions
0 Replies
517 Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya...
50 Reactions
182 Replies
17K Views
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema takribani watu 345,000 sawa na 34% ya chanjo zilizokuja wameshachanja. Msigwa amesema kazi kubwa imefanyika kuhakikisha watu hao wengi wamechanjwa na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam 18 Juni 2020 Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi. Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm...
21 Reactions
99 Replies
50K Views
TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud...
21 Reactions
70 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…