Picha: Mtoto wa Samia akiwa Russia

Picha: Mtoto wa Samia akiwa Russia

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,091
Reaction score
2,351
IMG_4294.jpeg
 
Ameenda kununua sumu kali ya kuua watu.Baada ya hiyo ziara kuna mkubwa utasikia amekufa
 
nadhani atasafiri na Rais mno katika ngwe hii ya mwisho ya Dr.Samia Suluhu Hassan, nadhani na katika kila safari ya Rais ng'ambo, hastahili kukosa, bilashaka hii itapendeza zaidi mpaka wenye wivu nae wazoee maumivu ya moyo :pedroP:
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Pamoja na changamoto kadhaa zenye kutia wasiwasi kuhusu sisi kama Taifa, amani na umoja wetu, mambo bado ni yale yale. Na yanatia ukakasi.

Mwenyezi Mungu tunaomba uendelee kulitunza Taifa letu...liendelee kustawi na kukaa kwa amani. Amen
 
Mm ninachojuwa huyu mtoto wa rahisi Hana akili kama rahisi mwenyewe mifano ni mingi
 
Hilo genge wamekwenda kuandaa mapema mazingira ya kwenda kujificha pale ambapo msako mkali utaanza.
 
Back
Top Bottom