MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,345
- 42,070
Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa.
Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi 2037 ninamuunga mkono Simai kuwa kama kuna kirusi ndani ya serikali kidhibitiwe mapema sana. Ni sahihi kumtumbua huyo kiongozi anayeleta shida. Kama hawezi kwenda sawa na maono ya mama akae pembeni na kuwapisha wanaoweza kufanya kazi chini ya mama.
Kuna wapuuzi wasiojua vizuri madaraka ya Rais na mwenyekiti wa CCM wanaojiaminisha kuwa kuna mtu ndani ya serikali na CCM anaweza kuzinguana na Rais akashinda hiyo battle. Ninamshauri huyo aliyetajwa na Sumai kuomba radhi mapema sana offline kabla ya kujikuta akitembea kwa magoti kutoka mlango wa Ikulu hadi ofisini kwa Rais na asisikilizwe.