johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,957
- 141,946
Waziri Mkuu Mstaafu mh Sumaye anasema alikwenda CHADEMA ili kuwafundisha namna ya kuendesha Serikali endapo kuna siku itatwaa madaraka.
Sumaye anasema alipogundua kwamba CHADEMA hakuna namna wataweza kutwaa madaraka na wamepungukiwa sana demokrasia aliamua kuachana nao.
Zaidi Sumaye anasema alipochukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa na kulipia gharama za fomu tsh 1,000,000 ndipo nongwa ilipoanza kwa sababu tu ilitakiwa Freeman Mbowe asipingwe.
Chanzo: Medani za Siasa Star tv