Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake.
Nataka...
Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani.
Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa...
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.
Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa...
Wanaukumbi.
Lema na Lissu, pamoja wafuasi wa Chadema kwenye Space kule Twitter mlituambia kuwa Rais Samia hawezi kuruhusiwa kwenda Marekani mmeshawambia mataifa ya Ulaya na Marekani kuwa Rais...
Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari.
Nikapaki...
Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani.
Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii.
Kiongozi dikteta...
Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti.
Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri...
Kwanini ninapofikiria kwa kina kuhusu barua feki iliyofojiwa moja kwa moja naihusisha na uwezekano wa kuwa Mrisho Gambo na genge lake wanaweza kuwa wamehusika tofauti na tunavyofikiria kuwa yeye...
Du....!
Ukitaka kuyajua maovu yafanywayo na viongozi wetu watawala....jaribu sana kusoma mitandao ya nje ya nchi kwani ukiwa tz mambo machafu haya huwezi yajua....(hata wikileaks ni mtandao wa...
Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya.
Wakati...
Mafupi marefu, awamu ya JPM kulikuwa na wafia upingaji na wanamatusi wa mhimili wa serikali kupitia mitandao ya kijamii wakiongozwa na mchambuzi kigogo 2014 kule Tweeter na Mange mchambaji kule...
Sio kweli kwamba kelele za kutaka kuusafisha mji zinazotolewa na vijana , viongozi wa CHADEMA mitandaoni ni hoja za kiungwa la hasha zimejaa hila na uchonganishi na hapa serkali ya mama Samia...
Waungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...
Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi ametangaza kukutana na Jeshi la Polisi huko Dodoma kwa lengo la kupanga ajenda za kikao dhidi vyama vya siasa, ambacho anapanga kukiitisha.
Maswali ni...
Ilikuwa mwaka 2018 serikali ya JMT kupitia rais wa wakati huo JPM alitoa kama si kuzindua vitambulisho kwa wafanyabishara ndogondogo upande wa bara ambapo lawama mbalimbali ziliibuka na hata hapa...
Habari gani Wakuu ninaamini mpo vyema kabisa. Naomba Moja kwa moja niende kwenye mada
Tanzania ni Taifa lenye bahati kubwa. Wazo la bandari ya Bagamoyo ni la kipekee na Mataifa Mengi yangeona...
Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za...
Nyanja: Demokrasia/Utawala Bora
Ninaandika andiko hii nikijuwa wazi kabisa kuwa wapo watakaopingana nami jambo ambalo ni kawaida kabisa kwa ufahamu wangu, sijui wa kwao, lakini pia raha ya...