Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, bila shaka tunafahamu kauli za mtangulizi wa Wizara ya Nishati kuhusu malipo ya gharama za kuunganishiwa umeme ya TZS 27,000. Nafikiri tuliowengi tuliunga mkono tamko hilo kwa mantiki...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana: Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi: Je: 1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa? Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Dodoma. The World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Mr. Hafez Ghanem, will visit Tanzania next week: a few days after President Samia Suluhu Hassan discussed...
1 Reactions
1 Replies
894 Views
Ni kweli kwa sasa Wanawake wanaweza wao wenyewe bila kuwezeshwa kwa sababu wizara zote wanazoongoza so far zinafanya vizuri. Mulamula yuko vizuri, Ndalichako anasonga mbele, Ummy anatuvusha na...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Hii ndio Halisi kwa sasa , huku Taarifa zikionyesha kwamba Wazungu wengi wanaosoma mabango hayo ambao wanafahamu kwamba Mh Mbowe ni tunu ya amani ya nchi WANASIKITISHWA SANA NA HALI YA UONEVU...
49 Reactions
176 Replies
17K Views
Wakuu Hii Ni Taarifa Ya Uteuzi Wa Bodi Ya NDC. . Wajumbe Wa Bodi Hyo Wametuliwa na Waziri Wa Viwanda Na Biashara Mwl. Prof. Kitila Mkumbo. Weki Iendelee.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakurugenzi tumieni Utu kuwapanga Wamachinga Wakurugenzi wa halmashauri nchini wametakiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuwapanga wamachinga kutekelezwa bila kutumia mabavu...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa. Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi mbona Kama siwaelewi vizuri Tanesco. 29 Aug nilinunua Luku wakakata hela ya tozo sh 2000 ambayo katika maelezo Yao inasema Ni kwa ajili ya mwezi wa July sh 1000 na August sh 1000...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Japokuwa ilikuwa na nachungu kwa watuhumiwa lakini kwa wafuataliaji wa mambo muhimu kama yale yalikuwa yapanua akili kiuelewa na yalikuwa yanatia raha. Hasa mahojiano Mahakamani. Nawakumbuka...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na...
15 Reactions
101 Replies
7K Views
Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri === UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA. Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027 Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu...
18 Reactions
54 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la COVID19 limeathiri ukuaji wa uchumi wa Tanzania kutoka 7% hadi 4.7%. Huku akitaja sekta ya utalii, usafiri na usafirishaji kuwa sekta zilizoathirika zaidi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka...
94 Reactions
205 Replies
14K Views
Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…