Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano...
Salaam.....
Kwanza Mh. Rais Nikupongeze tu kwa kazi kubwa unayoifanya kuendesha nchi kwa kutumia nguvu, akili na uwezo wako binafisi kuongoza watu m 50 sio kazi ndogo.
Pia nikukumbushe kuwa kuna...
Habarini za muda wapendwa
Nimekuwa nikitamani sana kujua baadhi ya maonyesho kama Yale ya sabasaba au nane nane pamoja na mikutano mingi inayohusiana na biashara au uwekezaji
Kama vile Rais au...
Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena...
Rais Samia: Jingine ni lile la asilimia kumi, Dodoma wamesema vizuri hapa, hongera mstahiki meya na mkuu wa mkoa. Wamesema vizuri kwamba wanajipanga sasa kwa ajili ya kutoa visenti vichache kwa...
Ktk kufufua Shirika la Umeme tumeona wakiondolewa viongozi wababaishaji na sasa tunasubiri safu mpya yenye kutatua matatizo ya wateja.
Ni ktk kipindi cha miaka mitatu nssf kumekua na huduma mbovu...
TAARIFA KWA UMMA.
Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21...
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake watatu inaendelea tena leo , ambapo Shahidi wa tatu ambaye anajulikana kama Konstebo Msemwa ataendelea kutoa Ushahidi wake ,
Tukumbuke kwamba...
Wakuu bwana hawe nanyi:
Kiukweli Rais Samia hangeruhusu mchakato wa katiba mpya ufanyike, kwa Hali tuliyopitia kipindi Cha Rais aliyepita, ilikuwa ni kutokana na madhaifu ya katiba iliyopo na...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametangaza kuanza utoaji wa chanjo ya Uviko 19 nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda na katika nyumba za ibada kuazia kesho Jumamosi Septemba 25, 2021...
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha...
Baadhi ya viongozi wa vijiji katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kukamilisha miradi ya umeme iliyotelekezwa na REA
Naye msemaji wa REA kanda ya kaskazini amesema miradi...
Habari ndugu,
Napenda kuongea na mkuruguzi wa Mwanza kupitia Uzi huu.
Ndugu muheshimiwa mkurugezi napenda kukupa Rai juu ya kosa unalotaka kufanya kuhusu kuwaamisha wamachinga especial wa...
KATIBU MKUU WA UVCCM AENDESHA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATIKA KATA YA UPINZANI.
Mh Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake ya awamu ya sita mbali na kuendelea kutoa elimu...
Karibu mdau wa nguvu tulijadili hili
Ambapo sisi ni taifa huru lenye katiba zilizowekwa, tunayo haki ya kutetea na kuongelea uhuru wetu pia sisi kama wananchi tunayo misingi yetu itakayotukomboa...
IMF raises red flag over Tanzania’s bleak economic outlook
SATURDAY SEPTEMBER 25 2021
A vendor sells green pepper on Mabibo Street, Dar es salaam. The country faces an urgent balance of payment...
Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na...
Kama tunataka nchi yetu iendeshwe kitaalamu, kwa weledi na muelekeo sahihi unaoleweka mawaziri wa wizara, wakurugenzi wa wizara, wakuu wa idara lazima wawe watu wa taaluma husika na uzoefu husika...