Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumefika nyakati ambapo:- Unaahidiwa kuwa ukichagua upinzani, hutapata au kuletewa maendeleo Kuweka bendera ya upinzani kwenye duka lako ndio chanzo cha kufungiwa biashara zako zote Kuweka...
3 Reactions
2 Replies
642 Views
Ni nani atabisha kuwa kwa kuwepo "haki" tu katika uchaguzi huu tunapita salama? Haki itatupa viongozi bora. Haki itatupa viongozi chaguo la watu. Haki itatufanya tuheshimike tena. Haki...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa CCM ndugu John Magufuli azidi kung'ara kwa miradi yake yenye tija kwa watanzania. Mradi wa daraja jipya la wami wafikia 45%. Hii itapunguza ajali hivyo kuokoa maisha pia...
15 Reactions
156 Replies
13K Views
NASAHA MUHIMU SANA... Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi! Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
36 Reactions
63 Replies
6K Views
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi == CHINA YAIAMBIA MAREKANI...
108 Reactions
562 Replies
42K Views
Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni. Kwa kweli binadamu tuko tofauti. Huyu bwana alikuwapo siku Mh. Lissu...
14 Reactions
136 Replies
13K Views
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM. Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa...
43 Reactions
72 Replies
6K Views
It might be a memorable moment to remember! Mgombea urais mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CDM ametua mjini Karatu muda wa jioni akiwa kachelewa. Na kwa kuheshimu sheria za uchaguzi ameamua...
102 Reactions
119 Replies
13K Views
Mheshimiwa kwanza pole kwa uchovu wa safari za kampeni. Napenda kukupongeza kwa elimu mujarabu unayoitoa kwa wananchi jinsi ya kujitambua na kusimamia haki zao. Nampenda kukuomba uongeze hizi...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu, heshima kwenu. Kuna baadhi ya nchi nimeona wagombea wanapokuwa wanawania nafasi ya cheo kikubwa kama uraisi, huwa wanapewa nafasi ya kufanya mdahalo. Mdahalo kwa wagombea unazo faida...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" Lindi Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Mgombea wa CCM Moshi Mjini na bilione Davis Mosha amwombea kura, Rais Magufuli, Priscuss Tarimo na Juma Raibu Kada wa Chama cha Mapinduzi na Aliyekua Mgombea wa Ubunge Moshi...
11 Reactions
75 Replies
9K Views
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo...
5 Reactions
57 Replies
8K Views
Habari waugwana wa JF Tupo kwenye wakati joto la uchaguzi limepanda kweli, wapo watu bado hawajapata mwafaka nani wampe kura zao wapo kwenye Tadhimini, hili ni kundi dogo sana Lipo lingine la...
1 Reactions
1 Replies
891 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga Mnyika amesema...
16 Reactions
70 Replies
9K Views
Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu...
12 Reactions
34 Replies
4K Views
WanaJf, Salaam! Naona tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imepewa meno makali ya kisheria ili kuleta ufanisi ktk uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini 28 Oktoba 2020. Hata hivyo nashauri yafuatayo...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Back
Top Bottom