Uchaguzi 2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,078
2,000
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.

Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea Watanzania adabu.

Ni kuwakosea Watanzania adabu kwa sababu pesa ya kuendesha TBC ambacho ni chombo cha umma inatolewa na Watanzania wa vyama vyote ambao hawamuungi mkono huyo Mgombea wa CCM.
 

jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
2,346
2,000
yani kma ningekuwa mkurugenzi wa tbc kwa upumbavu mloufanya pale zakhiem bas ingekuwa kuanzia asubuhi mpka saa 6 usiku ni ccm tyu,camera zote zingeenda kwenye kampeni
 

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,298
2,000
Lakini waliwai kurusha matangazo ya chadema mkawafukuza kwenye mkutano wenu pale zakiem mbagala mkuu so acha wafanyekazi na wanaotaka kutangaziwa mikutano yao
Kumbuka kuwa TBC waliomba msamaha kwa makosa waliyofanya kwenye mkutano wa kwanza wa Lissu.

TBC deserve to be burned to ash as our fellows Nigerians acted against their "TBC"
 

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,069
2,000
Watu waliokuwa wakishangalia siku Mbowe akiwafukuza TBC ndio hao hao leo wanailalamikia TBC kufanya siasa za upande mmoja.

It’s for those reasons we are advised to think of the consequences before taking actions.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom