Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Vituko vya serikali ya mh.Samia vinaendelea Mkaguzi anadai hakwenda kukagua Mali za CHADEMA kwa sababu ya kesi mahakamani Hivi kwani mahakama imekamata Mali za CHADEMA.
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Tumeona hivi karibuni, shughuli za ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi yetu na Marekani. Marekani kwa kifupi hawana urafiki na mtu yeyote au Taifa lolote. Watakumeza halafu kukutema mzima mzima...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
I haven't seen this happening in my lifetime. Believe it or not, it is a shame on the entire PhD class to have Dk. Rutengwe crying like a baby. Undermining his qualifications that he has no basic...
12 Reactions
72 Replies
10K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi za CCM...
0 Reactions
7 Replies
307 Views
Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Hili ndilo swali linalobeba kiini cha wasiwasi wa wengi kuhusu hatima ya mapendekezo ya Tume. Suala si kutolewa kwa ripoti pekee, bali ni nani atasimamia utekelezaji wake endapo mapendekezo...
0 Reactions
3 Replies
146 Views
This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Amesema Dkt.Tulia Ackson, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na...
6 Reactions
12 Replies
496 Views
Ndugu zangu Watanzania, Naungana Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Padre Dkt. Charles Kitima amesema "Ukosefu wa Fikra yakinifu kwa vijana ni hatari, Kijana unakuwa mpambe wa mtu ambaye hana maono ya kiuchumi."...
0 Reactions
3 Replies
173 Views
Hatimaye, Profesa Ibrahim Lipumba amekubali kung'olewa katika wadhifa wa uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), huku akiacha maagizo matano kwa mwenyekiti mpya, Mirambo Yusuf, likiwemo kuhakikisha...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Bei ya mafuta duniani imeripotiwa kupanda kufuatia tahadhari kali kutoka Iran dhidi ya uwezekano wa uvamizi wa kijeshi wa ardhini kutoka Marekani, licha ya Rais Donald Trump kusema kuwa mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29. Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV. Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa...
6 Reactions
8 Replies
428 Views
Ukifuatilia ziara ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ya hivi karibuni; utabaini kuwa kuna mamia kwa maelfu ya wananchi hujitokeza kwenye mikutano yake wakiwa na mabango, mafaili, nyaraka za...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa ni Makamu Mwenyekiti Wa Umoja Wa Afrika. Hivyo kutokana na Umahiri wake wa kiuongozi,Akili kubwa, Maono Makubwa , Ushawishi wake ,Ujenzi wa hoja...
2 Reactions
24 Replies
517 Views
Nyota ya Rais Samia inazidi kuiwakia Tanzania. Tanzania imechaguliwa kuwa Nchi ya 5 katika Bara la Africa Kwa Utalii wa Mikutano,Makongamano na Maonesho Kwa mwaka 2022 ikitoka kuwa namba 15 awamu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Hakuna Ubaya Wowote Kwa Mtanzania Yeyote Kuwa na Ndoto ya Kuwa Rais wa JMT!, Msiwatishe Bure Wenye Ndoto Hizo!. Leo naomba...
11 Reactions
25 Replies
707 Views
Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke...
7 Reactions
33 Replies
11K Views
Imebidi niwambie ukweli acheni ushabiki mkiwa kazini. Jana mlionyesha wazi kuwa kuegemea upande wa CCM-nyinyi ni wanachama/wapenzi wa CCM. Masako ulipoanza tu kutangaza matokeo ya awali wakati...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Back
Top Bottom