Utalii wa Mikutano na Makongamano(MICE): Tanzania yapanda hadi namba 5 Africa kutoka namba 15

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,736
Nyota ya Rais Samia inazidi kuiwakia Tanzania.

Tanzania imechaguliwa kuwa Nchi ya 5 katika Bara la Africa Kwa Utalii wa Mikutano,Makongamano na Maonesho Kwa mwaka 2022 ikitoka kuwa namba 15 awamu ya 6 (2015-2020).Tanzania imetanguliwa na Nchi za Kenya,Morroco,Rwanda na South Africa.

List imekaa hivi 👇
1. Kenya
2. Morocco
3. Rwanda
4. South Africa
5.Tanzania.

Ikumbukwe katika awamu ya 6 Tanzania ilipotea kabisa katika Majukwaa ya Kimataifa hivyo kuathiri sana sekta ya Utalii wa Mikutano hususani Mkoani Arusha na Dar ambako ndio Kuna Kumbi za Mikutano ya Kimataifa.

Hali hii imekuja kutokana na Jumuiya ya Kimataifa kuwa na Imani na sera nzuri za Nchi na amani pamoja na ushawishi wa Rais Samia kwenye Jumuiya ya Kimataifa.

Ikumbukwe Rais Samia ni Moja ya Wanawake wenye ushawishi sio tuu Africa Bali Duniani akiwa kama Mkuu wa Nchi hivyo watu wengi ku draw interest kwake binafsi na Nchi ya Tanzania Kwa ujumla..

Kwa Sasa Mikutano imerudi Kwa Kasi kubwa huku bookings zikiwa full yaani ni bandika bandua na hivi punde ni Mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu Rasilimali watu unaotarakiwa Kufanyika Dar.


My Take
Kukamilika Kwa Ujenzi wa Ukumbi Mpya na Mkubwa wa Kilimanjaro International Conference Centre-Arusha kutaifanya Tanzania kuongoza maana ukumbi wa Sasa ni namba 7 Kwa Ubora Africa.


Many African governments are waking up to the economic opportunities that MICE events offer, both directly in terms of tourism and indirectly in terms of advancing the industries they serve. We take a closer look at five African MICE frontrunners, with input from Rivania Govender, research specialist at Niche Partners.



01 kenya
Kenya was voted Africa’s Best MICE Destination 2022 in the World MICE Awards, while the World Travel Awards named Nairobi Africa’s Leading Business Travel Destination in 2016, 2019 and 2020.

Kenya prides itself on being the gateway into East and Central Africa. This is not only due to its geographical location, but also its thriving economy (the biggest in the region), good growth prospects and advanced connectivity between Jomo Kenyatta International Airport and Africa, Europe and Asia.

Rivania says, “Kenya continues to be under the MICE spotlight as one of Africa’s opportunity MICE markets. Kenya’s economy has seen sustained strong and stable growth, driven largely by positive investor confidence and an exceptionally resilient services sector – with agriculture, manufacturing and real estate also being key economic contributors.

“The country’s Ministry of Tourism and Wildlife is responsible for rolling out Kenya’s Tourism Agenda 2018-2022, which forms the basis for the Kenya National Tourism Blueprint 2030. This incorporates several areas of development in Kenya, with its national convention bureau pivotal in 32 landmark projects.”

The Niche Partners MICE Maturity Indicator also highlights East Africa as having one of the most developed MICE markets, being both developed and formalised, and which the government recognises and prioritises. This includes the establishment of the Kenya Convention Bureau (meetinkenya.go.ke) in 2019, which is focused on increasing the number and quality of business events, meetings and conferences to the Kenyan destination.

The country also has an abundance of things to see and do, with seven Unesco World Heritage Sites listed in Kenya and another 17 on the tentative list. Its national parks offer unsurpassed scenery and wildlife sightings, including the Serengeti Great Migration, while its coastline is laced with sandy white beaches, lagoons, coral gardens and reefs. The country’s coastal seafood cuisine is also unique and highly regarded.

Accessibility
Many international airlines fly direct to Nairobi or Mombasa on a frequent basis, while the country’s extensive air, road and rail networks also support efficient and affordable transfers.

Another significant advantage the country offers is the granting of e-visas on arrival, avoiding visa issuing delays and enabling greater tourist arrival numbers.

Venues
Kenya boasts an extensive range of venues, which can host up to 4 000 delegates. Of these, the Kenyatta International Convention Centre (KICC) in Nairobi is the largest and best known. It has 13 venues, an outdoor exhibition floorspace of 7 500 m², and is a 10-minute walk away from a good selection of five-star hotels.

The KICC has hosted several successful international events such as the 14th session of the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD 14) and the sixth Tokyo International Conference on African Development (TICAD-VI) Summit.

Aside from Nairobi, other popular MICE destinations within Kenya include the coastal city of Mombasa, the quiet port city of Kisumu on the shores of Lake Victoria, and the resort town of Naivasha that lies on the shores of its namesake lake.

Accommodation
According to the Ministry of Tourism and Wildlife, the country has 7 000+ three- to five-star graded hotel rooms in the capital city, Nairobi, as well as in Kenya’s secondary cities.

02 Morocco
Morocco usually tops the list as the most visited country in Africa and is a popular destination for the full range of MICE events. It’s no surprise, given its accessibility, safety, great weather year-round, and stunning vistas – from deserts of coloured sand, to snow-dusted mountains and a 2 500 km coastline partly along the Mediterranean Sea. It also has a huge array of activities on offer, a fascinating history and culture (with nine cultural heritage sites on Unesco’s list), not to mention its affordability and world-class infrastructure to support business events and tourism.

Rivania adds, “Growth in the tourism sector has been earkmarked by the government’s strategic priorities due to its economic impact, job creation and the contribution of an estimated 12% to GDP, indicating an opportunity for the seemingly nascent MICE sector. The national tourism strategic vision for 2020 was set with the goal of making Morocco one of the world’s top 20 destinations.

Although the country has not updated its strategy, the vision encouraged investment in eight tourism territories that are internationally competitive and differentiated (SMIT Morocco). Morocco’s MICE industry is the most active of all the North African countries included in our African Perspectives on MICE research.”

Accessibility
Morocco is one of the most convenient African destinations to travel to, being a quick 3.5hour flight from most European cities and having an impressive 25 airports throughout the country.

03rwanda​



The Rwanda Convention Bureau (rcb.rw) launched in 2014 to market the country as a top destination for business events and business tourism. The government has taken several effective steps to support the bureau’s purpose, including the US$300 million (R5.11 billion) development of the Kigali Convention Centre, enabling visitors to obtain their visa on arrival, and investing in the national airline, RwandAir.

Destination Rwanda also scores highly in terms of sustainability, safety and being an easy place in which to do business, having achieved the following rankings: #15 out of 20 of the world’s greenest destinations on earth (World Travel Guide, 2020); the second safest place in Africa ( 2018 Global Law and Order, Gallup); and second easiest place to do business in Africa (Doing Business 2020, World Bank).

Despite its small footprint, the ‘country of a thousand hills’ is home to four national parks, each with a rich biodiversity of both flora and fauna, and habitats ranging from savanna to lush rainforests, volcanic mountains and crater lakes. The country is also famed for the uniquely memorable experiences it offers tracking endangered mountain gorillas and other primates.

Accessibility
Kigali International Airport is serviced by several international airlines including RwandAir, Kenya Airways, Ethiopian Airlines, Brussels Airlines, KLM, Qatar Airways and Turkish Airlines.

Within the country, travel by road is recommended. The roads linking major centres are in good condition, and tour operators can assist with transfers. Alternatively, Akagera Aviation provides helicopter transfers and tours.

Venues
Rwanda’s four largest business event venues are in Kigali: the Kigali Convention Centre, which can accommodate up to 2 600 seated guests; the versatile Intare Conference Arena whose three largest venues can accommodate 2 500, 1 500 and 1 000 seated guests; the BK Arena, Kigali’s first 10 000-seater arena and multipurpose facility; and the Kigali Convention and Exhibition Village, with a total site capacity of 10 000 people within its 12 meeting halls. However, MICE events don’t need to be limited to Kigali. Four other cities also offer conference venues and meeting spaces, such as the scenic Nyagatare, the popular tourist city of Musanze, the waterfront town of Rubavu on the shores of Lake Kivu, or the intellectual and cultural centre of the country, Huye.

South Africa
South Africa has much to offer as a MICE destination, and was ranked the best destination in Africa for association meetings by the International

05 Tanzania
Like the other countries listed, the Tanzania Tourist Board (TTB, www.tanzaniatourism.go.tz/en) has committed to increasing its MICE market share and, to this end, is a member of ICCA.

Tanzania is a safe destination with a warm tropical climate, and offers great value for money. Its online visa application process simplifies getting your visa, although a visit to the nearest consulate for an interview may still be required.

Tanzania has many and varied tourist attractions, making it a widely appealing destination. Along its coastline are stretches of white sandy beaches and azure blue sea, while the warm waters of the Indian Ocean are rife with marine life and perfect for scuba diving. The semi-autonomous Zanzibar archipelago forms part of the United Republic of Tanzania, and in itself is an exciting destination to visit.
 
Rais Samia atailetea Neema kubwa sana Tanzania, mkutano mwingine huu hapa wa Masuala ya Joto Ardhi Africa unakuja.


TANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA ZA UWEKEZAJI WA MIRADI YA JOTOARDHI”

Tanzania itanufaika na Mpango wa kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya Jotoardhi na teknolojia za kisasa ili kuleta maendeleo endelevu. Mpango huo unatekelezwa na Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) unahusisha nchi sita (6) ambazo ni Tanzania, Djibouti, Ethiopia, Kenya, Rwanda na Uganda.

Hayo yamebainika wakati wa Jukwaa la Mpango wa Kuendeleza Jotoardhi kwa nchi za Ukanda wa Mashariki ya Afrika lililofanyika nchini Japan tarehe 18 hadi 24 Julai, 2023.

Akichangia mjadala wa ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika uendelezaji wa Jotoardhi kwa nchi za Afrika, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu wa Wizara ya Nishati Mha. Innocent Luoga alisema Tanzania ipo tayari kushiriki katika Mpango wa UNIDO wenye lengo la kuhamasisha matumizi ya nishati ya jotoardhi pamoja na kuwajengea uwezo Wataalam wake kwa nchi za Ukanda wa Mashariki ya Afrika.

“Tupo tayari kushirikiana na Mashirika ya Kimataifa, Washirika wa Manedeleo, Sekta Binafsi na Wadau wa nishati ya Jotoardhi katika kuendeleza rasilimali ya jotoardhi nchini Tanzania.”

Mha. Luoga alieleza kuwa Tanzania ina maeneo zaidi ya 50 yenye rasilimali ya jotoardhi ambayo yana uwezo wa kuzalisha umeme takribani megawati 5,000. Aliyataja baadhi ya maeneo ni Ngozi na Kyejo Mbaka yaliyopo mkoani Mbeya, Luhoi (Pwani), Songwe, Kisaki (Morogoro) na Natron (Arusha). Aidha, alieleza hatua mbalimbali iliyofikiwa katika uendelezaji wa maeneo hayo na faida za kutumia nishati hiyo ambayo ni rafiki wa mazingira.

Kamishna Luoga alitumia jukwaa hilo kuwakaribisha Wadau wote wa Jotoardhi kushiriki katika Kongamano la 10 la Jotoardhi la Nchi za Ukanda wa Mashariki ya Afrika (African Rift Geothermal Conference – ARGeo C10) litakalofanyika Novemba, 2024, Dar es Salaam, Tanzania. Tanzania iliteuliwa kuwa mwenyeji wa Kongamano hilo katika Mkutano wa Kongamano la 9 lililofanyika Nchini Djibouti, Mwezi Novemba, 2022.
 
Mambo mazuri yanakuja Arusha 👇👇
Screenshot_20240327-190114.jpg
 
Back
Top Bottom