Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selaman Jafo amesema marufuku kuzalisha karatasi za plastiki zinazobandikwa kwenye vizibo vya chupa ya maji na mirija ya kunywea...
Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi.
Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo.
Dah nilichokutana...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi.
Unakwepa kuwa na...
Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa...
Habari za mchana! Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na tuhuma nzito kutoka kwa watumiaji nguli wa Mtandao wa Twitter hapa Tanzania. Japo hajasema ni January nani, lakini tuhuma hizi ni...
Soma Unaweza jifunza Kitu...
"Dr. Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is...
Pan-African leader accused of funds 'misuse'
Oct 31, 2009 10:04 PM | By Charles Molele
Proceedings at the Pan-African Parliament (PAP) turned nasty this week when an audit report compiled by...
Leo Ndugu Harbinder na mwenziye Rugemalira wamepandishwa kizimbani. Nina ushahidi wa kutosha wa Harbinder na genge lake kuhusika na uangushwaji wa helikopta ya Deo hasa kwa sababu ya msimamo wake...
Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesisitiza kuwa fedha zilizochukuliwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni ni za umma na waliohusika katika sakata hilo...
Maisha yanaenda kasi sana na yamebadilika sana, Leo vijana wanaosoma chuo wanaona aibu kubeba bahasha ya kaki barabarani.
Enzi zetu kusoma chuo ilikuwa ni sifa kubwa sana, Haikuwa rahisi kufaulu...
Ikitokea la kutokea Rais Samia akaingia himaya ya BBC kipindi Cha maswali magumu "hard talk", unadhani katika kipengere Cha demokrasia majibu yatakuwaje?
Stephen Sucker anavyojua kubana. Mara...
Dar es Salaam.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeishauri Chadema kuweka picha ya Rais katika ofisi za viongozi wa chama hicho kwa sababu hiyo ni taasisi ya umma.
Ushauri huo umetolewa leo...
Leo nimempeleka wife kumfanyia vipimo na matibabu nikidhani labda kwa sababu ni dispensary ya serikali huduma itakuwa bure lakini cha kushangaza kila kitu unalipia. Kuanzia kumwona daktari...
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na...
https://www.tba.go.tz/projects/5
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla akiwa na Menejimenti ya TBA katika kIbanda cha mbele ya Majengo ya Mradi wa Magomeni Kota katika zaira...
Hasira hizi zinatokana na mambo mawili:
Moja ni uamuzi wa kamati ya PAC kuwasweka ndani baadhi ya watendaji wa TPDC kwa kushindwa kutekeleza maamuzi ya Kamati yanayohusu uwazi wa mikataba ya Gesi...
Shirika la umeme Tanzania (Tanesco), limeomba kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 67.87 ikiwa ni kutoka Sh197.8 kwa Unit mpaka Sh332.06.
Kaimi Mkurugenzi wa Tanesco, Felchesmi Mramba aliyasema...
Ripoti ya CAG imebainisha kuwa Fedha zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ni za umma.
Aidha, ripoti hiyo imezidi kuonyesha kuwa akaunti hiyo ilikuwa na Bilioni 306.
Ripoti inazidi kuanika kuwa...
Jenerali Mabeyo amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha linatumia mbinu na weledi wa hali ya juu katika kupambana na uhalifu nchini.
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman amewataka askari...
Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na...