ECONOMY
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 680
- 480
Habari wanajamvi nimekuwa kwenye sintofahamu kubwa katika nchi hii ya Tanzania kwa kuwafikiria vyama vya upinzani nini hasa hitajio lao ili tuwape nchi.
Kwa mfano Kipindi cha Hayati Rais Magufuli yupo hai chadema na vyama vya upinzani walikuwa wanaikosoa serikali kwamba haliichukulii kwa uzito suara la corona na pia waliiomba serikali kuleta chanjo hapa nchini na kupigia chapuo matumizi ya barokoa na njia nyinginezo ili kujilinda na ugonjwa wa corna.
Lakini Baada Rais Magufuli kufariki na Mama Samia kuwa Rais akajaribu kutekeleza ile hoja ya wapinzani kwa kutulia mkazo njia za kujilinda na corona ikiwemo kuvaa barakoa na kuleta chanjo.
Cha ajabu hawa hawa wapinzani hawaonekani kumuunga mkono Rais kuhusu kuhamasisha watu kupata chanjo na hata viongozi wao hawaonekani hadharani kupata chanjo.
" SWALI WAPINZANI MNATAKA NINI "