Naomba kujuzwa ratiba ya ziara ya Waziri Mkuu mikoa ya Kusini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,642
Wakuu naomba sana kama kuna mtu anajua chochote kuhusu ziara ya waziri mkuu mikoa ya huko mtwara anijuze atafika lini atapita maeneo gani hasa kwa mikoa ya Lindi na mtwara nijue Kama atatumia ndege mpaka nachingwea au atatumia njia ya barabara kuu na je atakaa siku ngapi akiwa katika majukumu yake hayo.

Sisi kwa Nia mbaya Bali Kuna Jambo ambalo nataka kulifanya huko Sasa nahisi hio ziara itaweza kuathiri kuonana na hao wahusika wa mradi wangu.natanguliza shukrani zangu
 
Hivi amani ya mpakani wale magaidi wa nchi jirani hawasumbui? Mkuu hadi kuuliza Kama atatumia usafiri wa anga au chini unatupa mashaka
 
Back
Top Bottom