Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu ndugu wana JF, leo usiku niliona maono au niliota ndoto mtu mwenye silaha ya kivita (SMG, AK47) akimnyooshea hayati Magufuli kana kwamba anataka kulipa kisasi na watu wanaoshuhudia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Zamani kanisa katoliki kama linataka kumfanya mtu kuwa mtakatifu lilikuwa linaajiri mtu fulani wa kuitwa Advocate Dei(wakili wa shetani). Kazi yake ilikuwa ni kuchambua mabaya ya mtu huyo na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Unaweza kumuita mtu chechote kile; lakini kumuita mtu tu kitu hakimfanyi mtu kuwa kitu kile. Ni kweli kwamba kuna majina mwingine ukimuita mtu unamvunjia heshima, hadhi, na utu wake mbele ya...
37 Reactions
103 Replies
7K Views
Wanabodi, Mnamo jana, naibu katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo Bw Benson Kigaila aliongea na vyombo vya habari ambapo aliezea mambo ambayo lazima yatekelezwe ili kama wana CHADEMA...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa &...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Naunga mkono hii 100%
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Our drivers toward the vision of Digital Tanzania since 1961: From the Late Julius Kambarage Nyerere, through the late John Pombe Magufuli to President Samia Suluhu Hassan Abstract Today, we...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala amesema kuanzia sasa ofisi zote za Serikali za mitaa zitalindwa na askari mgambo watakaolipwa mshahara na serikali hizo za mtaa ili kuwalinda watendaji...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, Sijui kama kuna kitu sijaelewa ila naona kama taifa ni kama tumechanganyikiwa hivi au niseme tumepoteza muelekeo au ufahamu fulani. Siku inapotengwa kitaifa kumuenzi mtu fulani maana yake...
1 Reactions
14 Replies
961 Views
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO "Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM"...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka ule 2014, serikali ya Rais Jakaya Kikwete ilipoamua kuanzisha mchakato wa katiba mpya, hayakuwa matakwa ya Kikwete wala CCM, bali ulikuwa ni msukumo wenye nguvu toka kwa wananchi. Kwa sababu...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na...
9 Reactions
36 Replies
47K Views
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro, ambapo atazindua miradi, kuweka mawe ya msingi na kuzungumza na wananchi katika mkutano...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa, " Chato tunasema Asante "...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Nini maana ya "Utumishi uliotukuka" ?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Takwimu hii ya kusikitisha imejulikana leo baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu , David Kafulila kutembelea kijiji hicho , ambapo wanakijiji hao wamuomba RC kuwaanzishia madarasa ya elimu ya watu...
3 Reactions
6 Replies
947 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…