Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 529
- 361
GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, Marehemu Mhe. William Vangimembe Lukuvi.
Ibada hiyo ya mazishi ilifanyika nyumbani kwa Marehemu, katika kijiji cha Idodi, mkoani Iringa.