Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,131
33,449
Kama ambavyo

Mashehe wa uamsho walivyotolewa.

Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).

Mdude kuachiwa(kushinda kesi).

Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.

Singasinga.

Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.

Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.

NIWATAKE RADHI WAUNGWANA. MAHAKAMA IMETENDA HAKI. liwe fundisho kwa wapumbervu wengine wote wanao ona kupewa dhamana ya madaraka wanakuwa wamemaliza kila kitu na kujigeuza miungu watu
 
Mashahidi wameshaanza kutishwa wasifike mahakamani

Watu ambao hawajawahi kwenda mahakamani akili Hakuna kabisa! Mashahidi kutokuja mahakaman mara moja mpaka hata 5 ni kawaida sana, na hii ni kesi moja!

Huyo Hakimu wa kesi hii Mmama anayeitwa Mshasha, ni hakimu very straight, namfaham, na anajielewa sana, ni mapema sana kuwaza Kama hii kesi itakuwa rahisi!

Kwa ubaya aliofanya Sabaya, nawaambieni bado ana mda sana magereza na kifungo kisichopungua miaka 30 kama mnabisha ngojeni muone!
 
Kama ambavyo

Mashehe wa uamsho walivyo tolewa
Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu)
Mdude kuachiwa(kushinda kesi)
Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni
Singasinga....

Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.

Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Ni ndoto nzuri..pitisha hukumu yako.
 
Inashangaza sana, jambazi alieumiza wengi kwa matendo yake maovu ndio anapewa ulinzi, halafu wale ambao waliumizwa wanaachwa wenyewe mitaani wanazurura kama kuku wa kienyeji.

Kama waandishi wa habari walioripoti habari zake akiwa mahakamani walitishwa, vipi hao mashahidi wasio na msemaji wala ulinzi wowote wao wataachwa kutishwa? hii kesi imeshageuzwa mchezo wa kuigiza.
 
Sabaya hana kosa ni uzandiki na fitima tu za watu wabobezi wa dhuluma hadi kufikiri dhuluma ndio haki. Unakuta mtu anatoa povu kuhusu sabaya. Ukimwambia aseme kosa la sabaya utasikia kampigilia mtu misumari miguuni. Ukimuuliza huyo mtu kafanya nini hadi apigiliwe misumari utaona anabaki kimya. Mengine ni wivu tu wa vijana wenzake.
 
Matako Sabaya akishinda hizo Kesi mie nitabadili jinsia na kuwa Mdada,yule lazima achezee mvua na kazi ngumu Kisongo
 
Inashangaza sana, jambazi alieumiza wengi kwa matendo yake maovu ndio anapewa ulinzi, halafu wale ambao waliumizwa wanaachwa wenyewe mitaani wanazurura kama kuku wa kienyeji.

Kama waandishi wa habari walioripoti habari zake akiwa mahakamani walitishwa, vipi hao mashahidi wasio na msemaji wala ulinzi wowote wao wataachwa kutishwa? hii kesi imeshageuzwa mchezo wa kuigiza.
Ukiwa jela si lazima ulindwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom