Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi!
Mbatia amekuwa...
Ni ukweli usio pingika kuwa kwa miaka mitano ya utawala wa awamu ya tano nchi ilikuwa na miradi mikubwa ambayo kwa macho ya kawaida ilionyesha kuwa na faida kwa Taifa.
Lakini pia ni Jambo...
Kikawaida Tz inategemea maono ya mtu au chama na maono haya ndiyo yanatumika kama dira ya taifa.
Tulianza na kilimo kwanza na sera hii ikafa baada ya JK kuondoka madarakani.
Tukaja na viwanda na...
Msomi nguli wa Tanzania Prof Issa Shivji amelichambua dai la katiba mpya na kusema halina tija wala si mwarobaini wa matatizo yanayowakumba watanzania kwa sasa.
Prof Shivji amesema wanasiasa...
Kwa upendo heshima na taadhima nimeona nichukue nafasi hii kukueleza kinagaubaga kuwa wilaya ya Kilosa ni ngumu kiutawala kuliko wilaya zote Tanzania.
Wilaya imejaa wapumbavu na pesa za...
Ni wazi chama cha NCCR-Mageuzi kinajipanga kufanya kazi kubwa katika siasa za Tanzania baada ya miaka 30 ya Mageuzi ya kisiasa Tanzania. NCCR-Mageuzi ni mwasisi wa siasa za vyama vingi na...
Waziri mhe. Simbachawene nimekusikia ukielezea hatua mbalimbali zitakazo chukuliwa dhidi ya watu wanaowakejeli, watukana na kuwakashifu Rais na viongozi pamoja na hata waliofariki!
Mimi...
Nawasalimu kwa jina JMT
Moja kwa moja najikita kwenye mada.
Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani...
Mchakato wa katiba bado unaendele na huu ni ujumbe wangu kwa leo.
1.CCM na UKAWA,mbona mwazidi vutana ?.
Bado mambo hayajawa,mnaanza kamatana.
Mtaweza kutugawa,na nchi mtaichana.
Tusitumie...
Ndugu zangu habari za asubuhi!
Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu...
Katika ufuatiliaji mdogo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, nimeona mapungufu makubwa ambayo niliwahi kuelezea humu ndani. Wengine walisema sijui kitu na kwamba ile ilikuwa...
√Soma hapo chini alichokisema
Kwamba
Rais Samia Suluhu kwa Sasa Hawazii Matatizo Ya Watanzania bali anawazia Uchaguzi Tu.
Kwamba
Ndani Ya Miezi 6 Wana Uhakika wa Kupata Tume Huru Ya...
Ni ushauri tu kwani spidi ya Jaffo kiutendaji ingesaidia sana huku wizara ya kilimo ambako tangu aondoke Wassira mambo ni kama yamesimama.
Hasunga kwa usaidizi wa akina Waitara hapana shaka...
Marco Maduhu
DODOMA
Habari
Nipashe
PAC yataja sababu Ripoti ya CAG kutochambuliwa kwa wakati bungeni
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Japhet Hasunga...
Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya.
Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha...
Mara baada ya kukamatwa kwenye kongamano la katiba jijini Mwanza, John Heche amelalamika na kuikumbuka awamu ya tano chini ya hayati Magufuli kuwa haikuwahi kuwatesa namna hii.
My take:
Kabla ya...
Nimetafakari kwa kina sana kuhusu kauli ya Kishetani ya Waziri wa Habari ndugu Mwakyembe kuhusiana na kupotea kwa Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Azory Gwanda , nimefikia hitimisho la kuwaamsha...
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu ametangaza kuwa kuanzia sasa ni marufuku kwa mkuu wa mkoa ,wilaya au mkurugenzi yoyote kusafiri nje ya mkoa wake bila kibali cha rais, makamu wa rais au waziri...