Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wandugu. Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo. Hii Leo jeshi la polisi...
7 Reactions
208 Replies
27K Views
Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe. Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa...
11 Reactions
106 Replies
12K Views
Updates: Saa 10:20 jioni: Wabunge wote wameshaketi na viongozi wote, ikiwa ni pamoja na Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Mkuu n.k wameshafika na Rais Kikwete...
30 Reactions
928 Replies
98K Views
Aweeee, Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic...
5 Reactions
13 Replies
319 Views
Kama kuna jambo linakera watu wenye akili timamu ni kuona mashoga wanazidi kuongezeka katika jamii lakini pia agenda yao kupenya kirahisi sana na kubebwa na watu mashuhuri Hivi karibuni ushoga...
14 Reactions
272 Replies
4K Views
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu. Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu...
16 Reactions
40 Replies
731 Views
Kwa mfano, Tukianzia na NCCR MAGEUZI, utabaini kwamba kiburi, majivuno, ubabe na ulevi wa umaarufu wa muasisi na kiongozi wa kwanza wa chama hicho wakati huo hayati Augustino Lyatonga Mrema ndio...
2 Reactions
55 Replies
589 Views
Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo...
6 Reactions
34 Replies
791 Views
Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM Lakini wapi! Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)? Na hao ma Godfathers wake...
14 Reactions
164 Replies
36K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo, https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/uchambuzi-wa-mayala-urais-2030-ndoto-halali-sio-jinai-5409324 Kuna ndoto za kweli na...
5 Reactions
11 Replies
422 Views
  • Featured
Diamond Platnumz, nyota wa Bongo Fleva, amesema anaogopa kuzungumzia masuala yanayohusu Serikali wakati wa mahojiano katika kituo chake cha redio, Wasafi FM. Akijibu swali kuhusu jitihada za...
20 Reactions
44 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akijibu ameyasema hayo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge Ado Shaibu kuhusu hatua za Serikali wanazochukua ili...
2 Reactions
23 Replies
421 Views
YAH: UTEUZI, UHAMISHO, UTENGUZI NA KUPANGIWA KITUO BALOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi, uhamisho, utenguzi na kumpangia kituo Balozi...
14 Reactions
58 Replies
3K Views
Wakuu, Aweee hii ni kali! Yaani mtu ana skendo kama mia kidogo anateuliwa kuwa Mbunge badala ya kwenda kuchunguzwa kwa tuhuma zote zilizoibuliwa dhidi yake. Samia anazidi kutuona manyani aisee...
5 Reactions
2 Replies
401 Views
Serikali itaendelea kuimarisha mikakati ya kufukuza Tembo katika maeneo ya wananchi ili kukabiliana na athari zinazosababishwa na wanyama hao-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
132 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Tuko Ripoti za CAG zilipoanza kuwekwa hadharani hadi hii leo kuna jambo moja halijabadilika. Wamekuwepo ma CAGs kadhaa walioandika ripoti zilizooneha weledi wa hali ya juu -...
37 Reactions
40 Replies
1K Views
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa...
4 Reactions
60 Replies
3K Views
  • Redirect
Habari wandugu, Hawa jamaa sijui upeo wao upoje,badala ya kukaa na kutafuta solution wanasema serikali imeongeza bei kidogo kuliko wengine ,nilitegemea watajadili inflation inayokuja au endapo...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Niliwahi sikia fununu za kupigwa 60B za Jeshi na jina lilikuwa ni hili....enzi za JIWE. Huyu mtu ndio yule aliyepata zike kashfa au ni mwingine? Jamii siasa nipeni taarifa nkoi.
0 Reactions
Replies
Views
CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara. CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la...
9 Reactions
16 Replies
447 Views
Back
Top Bottom