accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,743
Wandugu.
Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo.
Hii Leo jeshi la polisi lilipaswa kua limewasilisha mkataba wao na Lugumi Enterprises ikiwa ni pamoja na payment trends in which 99 % of contract sum ishalipwa kwa lugumi elihal contract execution haijafikia hata 20%.
Katika hili ukiachilia mbali Said mwenyewe pia wanatajwa Riz ,kitwanga na Mwema. Ninaamini kabisa kua wapo wengine wengi wanene.
Kwa jeshi la polis I kushindwa kuwasilisha nyaraka hizo Leo kwa kamati ya Bunge, je ? Polisi wamepuuza amri ya Bunge ? Kuna nini ndani yake? Hapa ndipo tutakapoweza kuupima utumbuaji majipu ya kipenzi rais wetu JPM.