Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaandika: Dr. Wilbrod Slaa Msingi wa vitendo vyote vya utekaji unaoendelea nchini ni Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) ya mwaka 2024. Bila kurekebisha sheria hii, Watanzania wataendelea...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Ni Bora ibada ikaongozwa na katekista kwasababu atatupitisha kwenye neno la Mungu kama lilivyo destur ya majukumu yao, kuliko hawa maaskofu wetu ambao wanapiga siasa kwenye madhabahu ya Mungu...
5 Reactions
50 Replies
681 Views
Wale wenzangu bendera fuata upepo sijui lini tutaamka usingizini. Miaka michache imepita tulimpinga hayati tukasema anapingana na matakwa ya WHO na ya serikali zingine za dunia[you name them]...
2 Reactions
24 Replies
925 Views
Mtu huyu ni fisadi na amelalamikiwa na majeshi yetu na kila mtanzania anajua lakini wewe tuliyekupa dhamana ya kupambana na ufisadi unaonekana kumpenda sana huyu mtu na unazunguka nae kila...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Karibu marais waliopita, ni Magufuli pekee aliyetumia raslimali za umma kujenga kwao. Siku hizi nasikia Kizinkazi. Je baada ya hapo, tutegemee Songea kwa Nchimbi? Je hii ni haki kwa mikoa ambayo...
1 Reactions
10 Replies
574 Views
Mbona off target zimekuwa nyingi sana? Pamoja na kuendelea kushukuru kwa h*hivyo vidogo* lakini ni muhimu sasa kujiuliza kuhusu wingi wa off targets Kwenye ngono pia kuna off target Kwenye...
9 Reactions
16 Replies
442 Views
Wakuu, Gazeti la HabariLeo kupitia kurasa zake mtandaoni waliweka taarifa hii, wakiujuza umma kuwa tume ya jaji Chande ingewasilisha ripoti yake jana Aprili 3, baada ya kuongezewa tena muda, na...
4 Reactions
23 Replies
531 Views
Aprili 3, 2026, Tume ya Rais iliyoundwa kuchunguza matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kukabidhi rasmi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kukamilisha uchunguzi wake. Tume hiyo...
5 Reactions
20 Replies
880 Views
Salam Wakuu, NImekuja Zanzibar (Unguja) kutembea sasa wakati nazurura na kutalii nikakutana na hilo jengo la Uchaguzi House. Nikasema nipate picha ya pale ikiwemo kujikumbusha kuwa nilipita...
5 Reactions
8 Replies
385 Views
Wanabodi Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!, Hili limjamaa...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu, Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu...
6 Reactions
17 Replies
456 Views
Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
21 Reactions
104 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni kiwanda Kikubwa cha kuzalisha Majungu ,Umbeya ,fitina , uchonganishi Na kupaka Matope na kuchafua Majina Ya Watu . Ni chama ambacho wanachama wake kutwa nzima...
4 Reactions
18 Replies
335 Views
Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi. Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Featured
Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 12.5 kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Hayo yameelezwa leo...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri? Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe...
50 Reactions
250 Replies
8K Views
Wanabodi, Naomba kuuliza, Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!. Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa...
20 Reactions
93 Replies
17K Views
📌 Janet Museveni - Minister of Education ( wife ) 📌 Muhoozi - Chief of Uganda's Defence Forces ( Son ) anaandaliwa kurithi madaraka. 📌 Khadizer - Chief General Army Commander ( Son ) 📌 Salim...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato. Dk Kalemani...
15 Reactions
142 Replies
6K Views
Back
Top Bottom