Mpaka sasa Rais Samia ana njia moja tu ya kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi...

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,959
Reaction score
8,130
Wakuu,

WhatsApp-Image-2026-02-24-at-13.24.35.jpeg

Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika.

Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa kutaka aonekane mbaya au vyovyote vile, lakini yeye hakutoa amri yoyote, alishangaa kuna baadhi yao walimgeuka na kutenda yale.

Amuondoe Director TISS, IGP na viongozi wote ambao wanafall kwenye chain hiyo na kuambia askari waue raia ili sheria ichukue mkondo wake.

Baada ya hapo atangaze kujiuzulu, na kuacha nchi ifanye upya mchakato wa Uchaguzi, Lissu akiwa nje, huru kwa makosa yote aliyokuwa akishtakiwa.

Vinginevyo hatoboi, akae kusubiri wananchi wakiwashe mpaka jaribio la mlkumwondoa lifanikiwe au Mungu aingilie kati, vyovyote vile mwisho wake utakuwa ni kuondoka kwa namna mbaya na kuingia kwenye historia ya kuwa Rais aliyewahi kutolewa madarakani kwa namna mbaya kuwahi kufanyika!
 
nonsense
 
Kwahy kwa akili za kiutu uzima unadhani Hilo linawezekana?
 
Si rahisi kwa Samia Suluhu Hassan kuachia madaraka, kwa sababu kuna mtandao wa kisiasa na maslahi uliomzunguka

Viongozi waliomtangulia kama Jakaya Kikwete pamoja na mfumo mzima wa chama tawala wana nafasi kubwa katika mwelekeo wa maamuzi ya juu
 
Hivi wakuu ile ripoti yao ya uchunguzi inatoka lini? Mbona kama ule muda ulioongezwa umeisha.
 
Wakuu,

Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika.

Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa kutaka aonekane mbaya au vyovyote vile, lakini yeye hakutoa amri yoyote, alishangaa kuna baadhi yao walimgeuka na kutenda yale.

Amuondoe Director TISS, IGP na viongozi wote ambao wanafall kwenye chain hiyo na kuambia askari waue raia ili sheria ichukue mkondo wake.

Baada ya hapo atangaze kujiuzulu, na kuacha nchi ifanye upya mchakato wa Uchaguzi, Lissu akiwa nje, huru kwa makosa yote aliyokuwa akishtakiwa.

Vinginevyo hatoboi, akae kusubiri wananchi wakiwashe mpaka jaribio la mlkumwondoa lifanikiwe au Mungu aingilie kati, vyovyote vile mwisho wake utakuwa ni kuondoka kwa namna mbaya na kuingia kwenye historia ya kuwa Rais aliyewahi kutolewa madarakani kwa namna mbaya kuwahi kufanyika!
Unaandika mambo kirahisi sana kwamba hayo yanafanyika simple kama unacheza gemu.

KuUderestimate nguvu ya Dola ndicho kilichopelekea wengi wafe October 29 , watu waliveshwa matumaini feki kuwa unaingia road unakiwasha imeisha Rais anatoka Madarakani .

Kumbukumbu utawala ukianguka haathiriki mtu mmoja bali Kuna watu wengi wazito Wenye nguvu ya pesa na connection kubwa ndani na nje ya nchi , hawawezi kuangalia kizembe maslahi yao yakitikiswa na Wana mbinu nyingi za kulinda utawala kwa namna yeyote .

Tusijazane na kujipa ukubwa na urahisi kama tunapambana kuiangusha serikali ya mtaa.
 
Wakuu,

Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika.

Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa kutaka aonekane mbaya au vyovyote vile, lakini yeye hakutoa amri yoyote, alishangaa kuna baadhi yao walimgeuka na kutenda yale.

Amuondoe Director TISS, IGP na viongozi wote ambao wanafall kwenye chain hiyo na kuambia askari waue raia ili sheria ichukue mkondo wake.

Baada ya hapo atangaze kujiuzulu, na kuacha nchi ifanye upya mchakato wa Uchaguzi, Lissu akiwa nje, huru kwa makosa yote aliyokuwa akishtakiwa.

Vinginevyo hatoboi, akae kusubiri wananchi wakiwashe mpaka jaribio la mlkumwondoa lifanikiwe au Mungu aingilie kati, vyovyote vile mwisho wake utakuwa ni kuondoka kwa namna mbaya na kuingia kwenye historia ya kuwa Rais aliyewahi kutolewa madarakani kwa namna mbaya kuwahi kufanyika!
Mmekalia kulishana mambo ya kusadikika tu
 
Labda ICC ya Nanjilinji Kilwa Kivinje. Mnashobokea sana taasisi za Ulaya ila mjuwe tu kuwa masharti yao ni kukubali LGBTIQ

ICC ya Kantalamba au Nanjilinji ndiyo unaiongelea. Wale wahalifu walistahili kuchezea risasi la sivyo nchi ilikuwa inawaka moto
 
Ndoto kama ndoto zingne
Mtazinduka kumekucha

Yaani lissu aachiwe kirahisi hvo?

Serikali ianguke kisa lissu? Eti nani kasema?
Mara mia lissu afiemo jela maana hakuna hasara kuliko umatako huo mnaowaza
 
Wakuu,

Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika.

Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa kutaka aonekane mbaya au vyovyote vile, lakini yeye hakutoa amri yoyote, alishangaa kuna baadhi yao walimgeuka na kutenda yale.

Amuondoe Director TISS, IGP na viongozi wote ambao wanafall kwenye chain hiyo na kuambia askari waue raia ili sheria ichukue mkondo wake.

Baada ya hapo atangaze kujiuzulu, na kuacha nchi ifanye upya mchakato wa Uchaguzi, Lissu akiwa nje, huru kwa makosa yote aliyokuwa akishtakiwa.

Vinginevyo hatoboi, akae kusubiri wananchi wakiwashe mpaka jaribio la mlkumwondoa lifanikiwe au Mungu aingilie kati, vyovyote vile mwisho wake utakuwa ni kuondoka kwa namna mbaya na kuingia kwenye historia ya kuwa Rais aliyewahi kutolewa madarakani kwa namna mbaya kuwahi kufanyika!
Chawa watakushukia kama mwewe,maana unataka kuwaharibia ulaji wao
 
Ndoto
 
Back
Top Bottom