Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,001
- 288,261
Tulishasena kwamba hakuna kijiji kitakachobaki , lakini kuna watu walidhani tunatania .
Sasa hali halisi iliyojiri huko Msalala ni hii hapa kama mnavyoiona , wananchi kwa maelfu wameamua kujisajili Chadema bila kushikiwa bunduki wala kutishiwa kupewa kesi za kutakatisha pesa .